Magufuli aitia Wizara hasara ya Bilioni 2

mwenye jazba ni mimi au wewe mi nimekuelezea kitu halisi wewe unanielezea vitu vya kufikirika yeye si yupo ndani ya baraza la mawaziri hizo sababu alitakiwa atoe mtu baki kwa kifupi magufuli angekuwa nchi nyingine zinazojua maana ya utawaka bora ama angejiondoa au kufukuzwa kwa kuitia hasara serikali na hizo pesa ni za walipa kodi wa kawaida kitendo cha kuendelea kumuachia hayo ndio matokeo yake
 
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa mahakama ya Tanzania imeamuru serikali kuwasilisha mahakamani zaidi ya bilioni 2 kama fidia ya samaki maarufu kama samaki wa Magufuli.Hii imetokana na serikali kushindwa kesi hiyo iliyounguruma kwa mda mrefu,Swali la Kizushi:Hivi kwa nini serikali "haishindagi" kesi kubwa kubwa

amini usiamini wanasheria wa serikali weng wao ni vihiyo.wengine wamepata kazi kwa kujuana hawana uwezo wa kutoa ushauri mzuri kwa watendaji matokeo yake watendaji wa serikali wanatoa maamuzi ambayo mwisho wake ni mbaya kama huo wa samaki wa magufuli!
 
Wewe ni wa kukuacha hata phrase zako nimekugundua upo type ipi - no more time to waste!
 
Gameyakehiyo mpwa utqonq anasikiliziayakengapii
 
Jiulize maswali yafuatayo:-

1. Je hao Wafilipino, Wavietnam walikamatwa wakivua katika bahari yetu an hawakukamatwa?
2. Walikuwa na vibali au la?
3. Ushahidi wa samaki waliovuliwa ulikuwepo au la?
4. Hata meli iliyotumika kuvua ilionekana au la?

Sasa hapa wa kulaumiwa kwa serikali kushindwa kesi wakati mambo yako bayana ni Mh Dr John Pombe Magufuli au DPP au Mahakama? Jibu utalipata ukijibu maswali hayo!
 
mbona tatizo la hasara ni kubwa ukitska kujua kaulizia gharama iliyotumika kuhifadhi hao samaki aliyochukuwa mhindi kabla ya ku dispose it is over 2 billions
 
Ni wale wale ambao tundu lisu husema serikali Ina majaji na wanasheria wabovu

Ni Vigumu kwa wanasheria wa Serikali kushinda kesi kutokana na kulipwa mishahara midogo na hawana mzuka wa kupambana.
 
Jiulize maswali yafuatayo:-

1. Je hao Wafilipino, Wavietnam walikamatwa wakivua katika bahari yetu an hawakukamatwa?
2. Walikuwa na vibali au la?
3. Ushahidi wa samaki waliovuliwa ulikuwepo au la?
4. Hata meli iliyotumika kuvua ilionekana au la?

Sasa hapa wa kulaumiwa kwa serikali kushindwa kesi wakati mambo yako bayana ni Mh Dr John Pombe Magufuli au DPP au Mahakama? Jibu utalipata ukijibu maswali hayo!
Hii ni Tz kila Jambo kuna Upigaji ndani yake, hapo wajanja wameshajipenyeza kwenye hizo billion 2 ni mwendo na kujilia pesa kiulaini.
 
amini usiamini wanasheria wa serikali weng wao ni vihiyo.wengine wamepata kazi kwa kujuana hawana uwezo wa kutoa ushauri mzuri kwa watendaji matokeo yake watendaji wa serikali wanatoa maamuzi ambayo mwisho wake ni mbaya kama huo wa samaki wa magufuli!
Si kwamba ni Vihiyo bali Serikali huwa hawalipi vizuri Matokeo yake huamua kuwasaidia upande wa pili kisha kupewa Mgao baada ya kushindwa kesi, Mkono mtupu haulambwi
 
Hiyoo pesa inapigwa kisanii kwa mgongo wa Mahakama
 
amini usiamini wanasheria wa serikali weng wao ni vihiyo.wengine wamepata kazi kwa kujuana hawana uwezo wa kutoa ushauri mzuri kwa watendaji matokeo yake watendaji wa serikali wanatoa maamuzi ambayo mwisho wake ni mbaya kama huo wa samaki wa magufuli!
Si kwamba ni Vihiyo bali Serikali huwa hawalipi vizuri Matokeo yake huamua kuwasaidia upande wa pili kisha kupewa Mgao baada ya kushindwa kesi, Mkono mtupu haulambwi
 
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa mahakama ya Tanzania imeamuru serikali kuwasilisha mahakamani zaidi ya bilioni 2 kama fidia ya samaki maarufu kama samaki wa Magufuli.Hii imetokana na serikali kushindwa kesi hiyo iliyounguruma kwa mda mrefu,Swali la Kizushi:Hivi kwa nini serikali "haishindagi" kesi kubwa kubwa

Kuna watu humo ndani ya sirikali yetu wanakula na wachina. haiwezekani kamwe kushindwa kesi ya wazi namna hiyo, kweli njia za kula hela ya serikali ni nyingi.
 
Mahakama zenyewe hizi hizi zinazopokea kila kitu??

Mimi binafsi naamini kabisa kuna shida ya wanasheria wetu wa wizara kuwa legelege, mahakama kuwa corrupt na wafanyabiashara kutumia mianya ya corruption kufanikisha mambo yao... kibaya zaidi siku hizi wanasiasa hasa wa chama tawala wamekua ni madalali wakuu wa wafanyabiashara kwenye kununua haki

I find it difficult kwamba hii kesi bado ilikua inanguruma wakati wale jamaa walikua hawana vibali vya kuvua samaki kwenye maji ya Tanzania

Anyway, tutapigwa hadi tutie akili na tuamue kusimama kwa ajili ya Tanzania

Mkuu si ajabu mshauri wa hiyo kampuni ni mzee wa vijisenti kwani hizo ndio dili zake
 
Jiulize maswali yafuatayo:-

1. Je hao Wafilipino, Wavietnam walikamatwa wakivua katika bahari yetu an hawakukamatwa?
2. Walikuwa na vibali au la?
3. Ushahidi wa samaki waliovuliwa ulikuwepo au la?
4. Hata meli iliyotumika kuvua ilionekana au la?

Sasa hapa wa kulaumiwa kwa serikali kushindwa kesi wakati mambo yako bayana ni Mh Dr John Pombe Magufuli au DPP au Mahakama? Jibu utalipata ukijibu maswali hayo!

Ndugu, kama yote hayo uliyoyaorodhesha hapo juu yangekuwa na ukweli wala mahakama isingetoa hukumu dhidi ya serikali, najua umeelimika lakini naomba ujielimishe zaidi; kesi hujengwa kwa msingi wa ushahidi kama huna ushahidi wa kutosha utashindwa tu mahakamani, mtawalaumu bure wanasheria na mahakimu kwa maamuzi yenu yajeuri na kiburi, madaraka yamewalevya hata sheria na taratibu hamfuati tena badala ya waziri kuwajibika eti lawama nnazipeleka kwa DPP kama yeye ndiye aliyeamuru kuwakamata hao samaki, jifunzeni kufuata sheria ndiyo muanze kuiwazia ikulu.
 
Mkuu si ajabu mshauri wa hiyo kampuni ni mzee wa vijisenti kwani hizo ndio dili zake

hahahaa, mkuu mie naona mbali

Haihitaji elimu ya PhD kujua chezo linaloendelea bongo, ni upigaji squared
 
amini usiamini wanasheria wa serikali weng wao ni vihiyo.wengine wamepata kazi kwa kujuana hawana uwezo wa kutoa ushauri mzuri kwa watendaji matokeo yake watendaji wa serikali wanatoa maamuzi ambayo mwisho wake ni mbaya kama huo wa samaki wa magufuli!

sijakuelewa vile, wanasheria wa serikali wanahongwa ili washindwe?
 
Maamuzi ya mtu mmoja yanaweza kuletea taifa hasara kubwa kama hii
 
Back
Top Bottom