Lakini niukweli!Hili Tanzania Daima bila shaka
Hapewi! AtaambUlia huohuo wa TWAWEZA!Halafu eti ndio tumpe uraisi
Kweli Lowassa zaid!Ni kiasi gani Lowassa kaitia hasara ukianza na Ranchi, Richmond, AICC n.k na tutahakikisha tunamfirisi ili siku nyingine iwe fundisho ..marehemu ndo apewe nchi? si wauza unga watatembea uchi duniani kote
Mabadiliko yanatakiwa kuanzia katika fikra zetu Mkuu!Duuuh kweli nchi imekwama tunahitaji #Mabadiliko
Viva Aluta Kontinua
Lolote lipo!Hana lolote