Magazeti ya leo yanaripoti kuwa mahakama ya Tanzania imeamuru serikali kuwasilisha mahakamani zaidi ya bilioni 2 kama fidia ya samaki maarufu kama samaki wa Magufuli.Hii imetokana na serikali kushindwa kesi hiyo iliyounguruma kwa mda mrefu,Swali la Kizushi:Hivi kwa nini serikali "haishindagi" kesi kubwa kubwa
Naombeni muanze kuwakumbusha ndugu, jamaa na marafiki waliopo katika hifadhi ya barabara waondoke mapema. Hasara inayofata kwa hao ndug, jamaa na marafiki waliopo katika hifadhi ya barabara ni kubwa KULIKO' haya ya hasara zilizopita. Tugange yajayo. KAMA NDUG JAMAA NA RAFIKI YUPO KWENYE HIFADHI mwambie anyeee kambi
Mlikiwa wapi cku zote naona povu linawatoka mnatetemekaaa😀
Maguli ndioo nani ? Mwepesi tu huyo unakumbuka mrema enzi zake? Kiko wapi sasa.
Deal mbele la kubomoa pesa za walipa kodiMagazeti ya leo yanaripoti kuwa mahakama ya Tanzania imeamuru serikali kuwasilisha mahakamani zaidi ya bilioni 2 kama fidia ya samaki maarufu kama samaki wa Magufuli.Hii imetokana na serikali kushindwa kesi hiyo iliyounguruma kwa mda mrefu,Swali la Kizushi:Hivi kwa nini serikali "haishindagi" kesi kubwa kubwa