Sio hakimu,jaji;hakim si tutasema njaa kali,jaji ambaye hupewa kila kitu kwa kodi yako,mpaka boksakama hakimu anahongwa na Rugemalila milion minne anapokea halafu fikiria siku una kesi unaenda kwa rugemalila unamwambia aongee na hakimu haache unoko wake unafikiri hakimu hatakataa
maccm yanatafuta hela za kuhonga uchaguzi mkuu.
Chama cha marushwa ccm
Turufu pekee ya wapinzani iliyobaki ni kuwapaka matope CCM, hawana jipya la kuambia wananchiUlisikia lini mtu asiyepeleka kondoo malishoni akalaumiwa kwa kupoteza kondoo mmoja nyikani?
ACHENI POROJO ZENU, MAJEMBE YA CCM HAMUYAWEZI, NA MTAPIGA RAMLI SANA MWAKA HUU!
Hahaaa, mkuu wewe umekuwa wazi juu ya lengo la mada hii, ni kutaka tu kumchafua MAGHUFULI. Watanzania siyo wajinga kiasi hicho wanajua kazi nzuri ya Maghufuli, tunajua uwezo wa Maghufuli, tunajua msimamo wa Maghufuli. Hatudanganyiki,Akiwa raisi tutauzwa...
Maghuufuli anaitia hasara serikali wakati anasimamia sheria za nchi. Hicho kituocha mafuta bado kipo? Chezea Maghufuli wewe. Tangu ataifishe samaki umeshaona uvuvi mwingine wa kijinga?hii si mara ya kwanza Magufuli kuitia hasara serikali hata kule mwanza serikali ililipa mabilioni ya pesa baada ya kuvunja kituo cha mafuta alichosema kilijengwa kwenye hifadhi ya barabara leo hii aliyevunjiwa ni mbunge wa ccm amekuwa anafanya maamuzi mengi ya kurupuka hata uuzaji nyumba za serikali pia uliingiza hasara serikalini kwani waliokuwa wakiteuliwa ilibidi wakae hotelini kwa kukosa makazi
Bado ni nafuu kuliko wangeendelea kuvua samaki nakuliingizia taifa hasara ya matirioni ya pesa.... Tutalipa Tu, Tuna Hela Nyingi Za Mambo Hayo
Wanasheria wengi wanapenda kesi kama hiz za serikali maana wana uhakika kushinda ni asilimia kubwa kuliko ya mtu na mtu kwa kuona watamkandamiza mmoja wao ni bora waikandamize serikali ndio maana kesi nyingi za serikali inashindwa ni makusudi tu ya wanasheria ili wale pesa za serikali
Hapo Maghufuli anahusikaje?ndo fuba nyingine inapigwa hivyo.kusema kushindwa kesi ni kigezo tu