Magufuli aanza kulewa madaraka?

Magufuli aanza kulewa madaraka?

Acid,

Tupo pamoja sana na nafurahi ingawa kwa shingo upande unakubali.

Haya mambo ya kuandika mikataba kwa sasa ninavyofahamu baadhi ya nchi za Ulaya wanayafundisha vyuoni.

Kuna Mtanzania mmoja alishawahi kuajiriwa kufanya kazi ya kufundisha Shirika kubwa la Serikali kama Tanroads kwa Tanzania. Wazungu walichukia sana kupewa shule na Mpingo na hasa inapokuja kuwa wengi wao tayari walikuwa Wahandisi waliobobea ila hawajui kuwekeana/kuandika mikataba.

Jamaa (wakandarasi) walikuwa wakitumia makosa wanayoyafanya kwenye UPEMBUZI yakinifu. Kwa mfano katika sehemu wanayojenga, mkandarasi anakuta swamp na kwenye makaratasi haipo. Hili linakuwa kosa la TANROADS kwa sababu hawakuliweka kwenye maelezo. Sasa jamaa wanajenga pale kwa kukausha maji kwanza. Na wakimaliza kujenga, kama gharama yake imeongezeka kwa dola 5,000 basi wao ndiyo sehemu ya kujidai maana wataandika bei wanayotaka. Wanaweza kuandika hata Dola 500,000. Inabidi muwe mmekubaliana mapema kuwa kikitokea kitu cha ajabu njiani, nini kifanyike na mkataba ubadilike vipi. Ni bora zaidi kama watu wa SOIL ENGINEERING watafanya kazi yao vizuri basi wataokoa hizi ajali.

Kwa Tanzania nina uhakika uzembe ni mwingi sana na wanapokuja wajuzi wa kuandikiana mikataa na kuiba, tutalizwa sana. Kuna kampuni fulani la Ki-German ni Washenzi sana. Wana wanasheria kama 12 hivi na Wahandisi kama 3. Wao hushinda kama Mkandarasi mkuu na hapo huchukua wafanyakazi wa chini wengi. Sasa wao wanachukua pesa Serikalini na hawawalipi nyie. Huwa wanakuja Wahandisi wao na wanatafuta makosa madogomadogo. Wakiyaona tu, wanaandika kwenye report na kupiga picha. Ukimaliza kazi HAWAKULIPI HELA. Sasa jifanye unaenda Mahakamani, mhhhh ...... hapo unakutana na ile timu ya Wanasheria 12, unakuwa chali.

Ndiyo maana ni rahisi sana kwa Mkandarasi TAJIRI sana leo, kesho ukasikia KAFILISIKA.

Magufuli atengeneze timu ya Wanasheria wakali wa TANROADS ili wawe wanasaidia kwenye mikataba na kusimamia mikataba pia. Unaweza kuwafanyia unyama Wakandarasi kama wamezoea kuiibia serikali huku ukipeleka onyo kwa wengine kuwa "mnaweza kufilisika sasa hivi kama mtajifanya mwatoa sana hongo........."
 
Mkuu wa mkoa anamjua through senior engineer's reports ( if they are doing their jobs ) kila halmashauri ina mhandisi mshauri wa ujenzi sambamba na meneja wa mkoa wa tanroads mwenye dhamana ya kusimamia maendeleo ya barabara na miradi husika mkoani kwake

tusijesahau yaliyotokea kwenye mikataba ya dowans... construction projects (Civil & buildings) kuna FIDIC and East African Conditions of Contracts... sijui utamkamataje na kumfunga contractor na hizi contracts conditions zikiawa kimya.... kule kule kwenye arbitration na this time ni humu humu bongo... National Construction council
 
kuna vifungu vya kuwaweka ndani kwani ni waarifu kama wengine, maana hapa ni suala la udanganyifu, naona sawa hajakurupuka maana anahuzoefu na anawajua vizuri na uaribifu wao
 
Guys,tunajua kuwa wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wanamuwakilisha mh raisi katika maeneo yao,kama raisi ana madaraka makubwa,automatically the so called RC and DC should have those super powers,so lets go to the Constitution business,ili mambo ya jinsi hii yasituchagaye,we need a brand new CONSTITUTION !! !😱
 
Kuna kampuni fulani la Ki-German ni Washenzi sana. Wana wanasheria kama 12 hivi na Wahandisi kama 3. Wao hushinda kama Mkandarasi mkuu na hapo huchukua wafanyakazi wa chini wengi. Sasa wao wanachukua pesa Serikalini na hawawalipi nyie. Huwa wanakuja Wahandisi wao na wanatafuta makosa madogomadogo. Wakiyaona tu, wanaandika kwenye report na kupiga picha. Ukimaliza kazi HAWAKULIPI HELA. Sasa jifanye unaenda Mahakamani, mhhhh ...... hapo unakutana na ile timu ya Wanasheria 12, unakuwa chali. "

Nimeipenda hii!!
 
Acid

Hawa watu wa tanroads wanafanya kwa makusudi kuweka mikataba mibovu isiyombana mkandarasi kutokana na kutaka rushwa.

Hao wakandarasi wanajua vyema mikataba inayowabana inakaahe manake siku hizi vyuo vikuu kuna somo maalum juu ya procurement methods and contracts kwa wanafunzi wote wa construction.

Tanroads wanaweka mikataba isiyo wazi kwenye risk allocations na nani alipe kukitokea hitilafu.
Na waanze kuwajibishwa hawa kwanza.
 
unajua tanroads chini ya Mrema ilikuwa very independent, which is a good thing, unfortunately wakawa miungu watu... sasa magufuli kawaingilia, kuna watu kwenye hii hii sredi wameshahoji kama tanroads ni chombo huru tena

Given a chance, ningefungua mahakama kama zile za karume enzi zile... chapa hukumu papo kwa papo kwani huko tanroads kama ni kuibadili basi kazi zote zitangazwe hadi wafagiaji
 
Mkuu basi ingekuwa vema makandarasi waongozwe na Idara ya Polisi ili kieleweke!!

Mkuu mimi sioni tatizo kwenye hilo kwa kuwa sheria zetu zipo wazi,ukizivunja ni lazima sheria ichukue mkono wake,no compromise on this.Sasa kama watahitajika polisi wengi sana hilo sio tatizo kwa kuwa kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao bila kujali ni wangapi wanahitajika!!
 
Acid,

Tupo pamoja sana na nafurahi ingawa kwa shingo upande unakubali.

Haya mambo ya kuandika mikataba kwa sasa ninavyofahamu baadhi ya nchi za Ulaya wanayafundisha vyuoni.

Kuna Mtanzania mmoja alishawahi kuajiriwa kufanya kazi ya kufundisha Shirika kubwa la Serikali kama Tanroads kwa Tanzania. Wazungu walichukia sana kupewa shule na Mpingo na hasa inapokuja kuwa wengi wao tayari walikuwa Wahandisi waliobobea ila hawajui kuwekeana/kuandika mikataba.

Jamaa (wakandarasi) walikuwa wakitumia makosa wanayoyafanya kwenye UPEMBUZI yakinifu. Kwa mfano katika sehemu wanayojenga, mkandarasi anakuta swamp na kwenye makaratasi haipo. Hili linakuwa kosa la TANROADS kwa sababu hawakuliweka kwenye maelezo. Sasa jamaa wanajenga pale kwa kukausha maji kwanza. Na wakimaliza kujenga, kama gharama yake imeongezeka kwa dola 5,000 basi wao ndiyo sehemu ya kujidai maana wataandika bei wanayotaka. Wanaweza kuandika hata Dola 500,000. Inabidi muwe mmekubaliana mapema kuwa kikitokea kitu cha ajabu njiani, nini kifanyike na mkataba ubadilike vipi. Ni bora zaidi kama watu wa SOIL ENGINEERING watafanya kazi yao vizuri basi wataokoa hizi ajali.

Kwa Tanzania nina uhakika uzembe ni mwingi sana na wanapokuja wajuzi wa kuandikiana mikataa na kuiba, tutalizwa sana. Kuna kampuni fulani la Ki-German ni Washenzi sana. Wana wanasheria kama 12 hivi na Wahandisi kama 3. Wao hushinda kama Mkandarasi mkuu na hapo huchukua wafanyakazi wa chini wengi. Sasa wao wanachukua pesa Serikalini na hawawalipi nyie. Huwa wanakuja Wahandisi wao na wanatafuta makosa madogomadogo. Wakiyaona tu, wanaandika kwenye report na kupiga picha. Ukimaliza kazi HAWAKULIPI HELA. Sasa jifanye unaenda Mahakamani, mhhhh ...... hapo unakutana na ile timu ya Wanasheria 12, unakuwa chali.

Ndiyo maana ni rahisi sana kwa Mkandarasi TAJIRI sana leo, kesho ukasikia KAFILISIKA.

Magufuli atengeneze timu ya Wanasheria wakali wa TANROADS ili wawe wanasaidia kwenye mikataba na kusimamia mikataba pia. Unaweza kuwafanyia unyama Wakandarasi kama wamezoea kuiibia serikali huku ukipeleka onyo kwa wengine kuwa "mnaweza kufilisika sasa hivi kama mtajifanya mwatoa sana hongo........."
Koote tuko pamoja, je hapo chini kuna mwanasheria wa serikali aliye mzuri na muadilifu?
 
The bad thing is that there are things most people wants to hear, and most of those things are those that do not have base and if parsued will be at the cost of all the wananchi of URT. Magufuli when he was in the same ministry during Mkapa's time have costed the wananchi a lot of billions as fines/charges paid to contractors whose their contracts was revoked by Magufuli on political grounds. all these monies were paid by TANROADS without making noise and that i think was one of the reasons he was not positioned at the same ministry earlier. He went to Uvuvi, again, we lost a lot of money through samaki wa magufli, and the reason is that he is not looking on policy and directing but wants to be a partisan and that is where we have a problem with him. We want a person who can actually give us figures of how much we have lost b/se of cancellation of contracts unprofessionally on political illmotives and cheap popularity!!!!!
I am a fan of a person who walk through and lets his hands dirty but should be in clear process which will not at end of the day be the burden to the poor citizen of this great nation!
 
Na huyo huyo Magufuli pia awe na uhakika kwamba Watanzania hatutatumia tena fedha zetu za kodi kuwafidia wakandarasi na wengineo kama ilivyotokea hukohuko Mwanza (pale Makongoro kilipokuwa kinajengwa kituo cha mafuta akasema kiko barabarani kivunjwe na ghorofa iliokuwa barabarani ikawachwa!) naomba sana isije ikawa amri zake zinatupeleka huko. Utendaji wake kazi unastahili kwa nchi yetu lakini anapaswa kuwa makini sana asiingizwe tena king na wenye maslahi yao.
 
Mkuu mimi sioni tatizo kwenye hilo kwa kuwa sheria zetu zipo wazi,ukizivunja ni lazima sheria ichukue mkono wake,no compromise on this.Sasa kama watahitajika polisi wengi sana hilo sio tatizo kwa kuwa kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao bila kujali ni wangapi wanahitajika!!

Naona mkuu unaenda nje ya context ya mada yenyewe.
Ukiongelea Polisi basi unarudi kwenye Criminal Law au makosa ya jinai.Makandarasi akihujumu mradi basi hapa nndio mahali pake.
Mimi si mkandarasi lakini Law of Contract naifahamu vizuri sana.
Kwa jinsi Law of Contract kwa minajili ya ujenzi inavyoendeshwa nchi hii mkataba standard upo wizara ya ujenzi na ndio unaotumika katika miradi yote ya ujenzi, iwe Halmashauri au Serikali Kuu.

Nimefarijika kuona michango iliyoenda shule, kama vile Gaijin anavyohoji.
Contract au Mkataba wa Ujenzi una sehemu kuu nne:
-Conditions of contract-mazingira ya nayohusu utekelezaji wa mradi
-Specifications-viwango vya utekelezaji kazi
-Drawings- michoro yote ya ujenzi
-Bills of Quantities-gharama ya kazi pamoja na hesabu ya vifaa vyote.
Kunaweza kuwa na kipengere cha Specific Conditions ambazo ni mahsusi kwa mradi husika.

Mkandarasi hapo anabanwa tena vipengele viko wazi kabisa juu ya adhabu za kuchukuliwa asipotekeleza kufuatana na viwango vya kazi.
Adhabu hizi ziko katika Conditions of Contract ambazo Mwenye kazi na Mkandarasi wanaekeana sahihi.

Pengine Dr Magufuli hajui kwamba vifungu hivi vipo ndani ya mikataba hii, lakini vipo wazi.
La msingi hapa ni usimamizi mbaya na usioridhisha katika mikataba karibu yote ya ujenzi.Mkandarasi si malaika usipomsimamia lazima atatumia mwanya kimkatabakukuibia.
Mbaya zaidi kama mtoa kazi hajui mkataba wenyewe unasema nini.
Tumemsifia sana Dr Magufuli kwa kuanza kuisafisha TANROADS lakini uozo uliopo katika mikataba yake wizarani pamoja na kukosa kabisa usimamizi AU rushwa ndio tunaona matokeo yake.
 
Mh!naona mkuu una chuki binafsi na huyu Dr Magufuli,kwa kabisa nimesikishwa na initial uliyoitumia Huyu anaitwa Dr Magufuli(PHD),na sio Magufuli.DR Magufuli ana uzoefu wa kutosha na makandalasi,yeye anajua kabisa makandalasi wengi ni wazembe,hivyo wakati mwingine hatua za kisheria uhitajika kuchukuliwa mara moja!!

Na anajua tanzania kuna kokoto ngapi na changarawe ngapi hehehehehe
 
Nimefarijika kuona michango iliyoenda shule, kama vile Gaijin anavyohoji.
Contract au Mkataba wa Ujenzi una sehemu kuu nne:
-Conditions of contract-mazingira ya nayohusu utekelezaji wa mradi
-Specifications-viwango vya utekelezaji kazi
-Drawings- michoro yote ya ujenzi
-Bills of Quantities-gharama ya kazi pamoja na hesabu ya vifaa vyote.
Kunaweza kuwa na kipengere cha Specific Conditions ambazo ni mahsusi kwa mradi husika.

Mkandarasi hapo anabanwa tena vipengele viko wazi kabisa juu ya adhabu za kuchukuliwa asipotekeleza kufuatana na viwango vya kazi.
Adhabu hizi ziko katika Conditions of Contract ambazo Mwenye kazi na Mkandarasi wanaekeana sahihi.

Tumemsifia sana Dr Magufuli kwa kuanza kuisafisha TANROADS lakini uozo uliopo katika mikataba yake wizarani pamoja na kukosa kabisa usimamizi AU rushwa ndio tunaona matokeo yake.

mkuu nakushukuru kwa mchango wako ambao unajitosheleza kueleza kuwa ni mdau wa construction industry or of the likes..... mimi pia ninapenda kuongezea pia katika hatua za mchakato wa uendeshaji wa miradi.... makosa makubwa sana yana fanyika..... Magufuli anazungumzia at contract/project stage...... je katika hatua ya pre-contract/project stage.....inakuwaje? hapa ndio uchafu na ufisadi kwanin katika hatua ya pre qualification and tendering stage ndio tunaona rushwa kubwa zikitumika na kupitisha wakandarasi wasio na sifa au wana sifa lakini ilimradi wapate hiyo kazi na kupocket pesa za umma.... specific procurement hazifuatwi hata tendering procedures zinapindiswa makusudi and the lowest tender is then awarded..... je madiwani na kamati za halmashauri wanaifahamu vizuri pre-contract/project stage inayojumuisha tendering stage....... hapa ndipo chanzo cha matatizo..... pia pamoja na contract zetu zipo standard.... je kwenye pre tender stage inayojumuisha preparation of tenders nini kinawekwa makini kuhakikisha conditions ziko firm and fair kwa wakandarasi....
 
Mkuu, usiitumie hii KUFILISI watu.

Kumbuka kuwa kwa Tanzania, inabidi Mahakama pia uwe umeiweka mfukoni. Kama huna mahakama mfukoni, basi haitakusaidia sana kuwaibia watu. Pia inabidi uwe na pesa za kuajiri hao Wanasheria ....... MTAJI ndiyo kazi.
Nimeipenda hii!!
 
mkuu nakushukuru kwa mchango wako ambao unajitosheleza kueleza kuwa ni mdau wa construction industry or of the likes..... mimi pia ninapenda kuongezea pia katika hatua za mchakato wa uendeshaji wa miradi.... makosa makubwa sana yana fanyika..... Magufuli anazungumzia at contract/project stage...... je katika hatua ya pre-contract/project stage.....inakuwaje? hapa ndio uchafu na ufisadi kwanin katika hatua ya pre qualification and tendering stage ndio tunaona rushwa kubwa zikitumika na kupitisha wakandarasi wasio na sifa au wana sifa lakini ilimradi wapate hiyo kazi na kupocket pesa za umma.... specific procurement hazifuatwi hata tendering procedures zinapindiswa makusudi and the lowest tender is then awarded..... je madiwani na kamati za halmashauri wanaifahamu vizuri pre-contract/project stage inayojumuisha tendering stage....... hapa ndipo chanzo cha matatizo..... pia pamoja na contract zetu zipo standard.... je kwenye pre tender stage inayojumuisha preparation of tenders nini kinawekwa makini kuhakikisha conditions ziko firm and fair kwa wakandarasi....

Nakufagilia Mkuu LAT kwani unelekea kulifahamu hili somo fika.
Na ndio maana nilidokeza tu kuwa aidha Dr Magufuli anatafuta cheap popularity au inaelekea msomi huyu wa Kemia hajawahi kusoma masuala ya mikataba ya ujenzi.
Asitu-dissapoint wadau wa sekta hii kama Dr mwenziwe aliyeondoka, katika kusimamia kung'oa uozo katika mikataba ya ujenzi.
 
"Dr Magufuli aagiza makandarasi kukamatwa
Na John Maduhu
Mwanza
Waziri wa Ujenzi,Dr John Magufuli ameagiza Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kuwaweka ndani mkandarasi wazembe wanaopewa kazi na kushindwa kuzifanya kwa wakati.
Amesema kwa kuwa makandarasi hao wanaonekana kuwa kikwazo njia pekee ya kurejeshaheshima katika kazi ni kuwaweka ndani japo kwa saa sita kwa kuwa wanajenga barabara chini ya kiwango."
MTANZANIA,Januari 5,2011

The gentleman is at it again, cheap populist soft targets.
Katika mikataba ya ujenzi inayotayarishwa na serikali, mkandarasi mzembe anavifungu vinavyombana kutekeleza kazi kwa viwango vinavyotakiwa.
Sasa hili la kuwaweka ndani wakandarasi ni la kushangaza!
Tunategemea Dr Magufuli aanza yeye kwa kuwaweka ndani wasimamizi na wakandarasi wa Kilwa Rd.Kazi imefanywa chini ya viwango wakati wahandisi wa Wizara walikuwepo na hata leo wapo, hawajafa.
Dr Magufuli awaweke ndani hawa.
Sakata la Mrema linaishaje, Dr Magufuli atayarishi lupango ya kumweka Mrema wa TANROADS, ama sivyo hataeleweka.
Msata-Bagamoyo je?
Dr Magufuli atayarishe selo ya mkandarasi aliyepewa kazi hiyo,TAKOPA, wa Kikorea ili tuweze kumwelewa.
Udhaifu wa mikataba mingi ya Ujenzi msingi wake uko katika watayarishaji na wasimamizi wenyewe ndani ya Wizara husika za Ujenzi na Halmashauri.
Suala la rushwa ndio usiseme.
Mchawi wa matatizo ya ujenzi iko huko huko mawizarani ikiwa ni pamoja na ni ukosefu wa usimamizi imara wa miradi yenyewe.
Zaidi ya yote namshauri DR Magufuli KUSOMA mikataba ya Ujenzi, kitu ambacho inaelekea hakielewi vema.

Huyo POMBE MAGUFULI mwenyewe awekwe ndani kwani mpaka sasa hajafanya lolote zaidi ya kupiga kelel kila siku,porojo nyingi kumbe na yeye kilaza fisadi kama wenzake;
 
Kwa hiyo mkuu wa mkoa amuweke mkandarasi ndani kwa kupewa taarifa kuwa standards hazikufikiwa na meneja wa ukandarasi wa mkoa?

Anashindwa vipi kupewa taarifa kuwa kwenye mkataba hakuna kifungu kinachoruhusu kumuweka mtu ndani asipotimiza standards?

I only responded to one question, kuwa anajuaje mhandisi yuko chini ya kiwango
Kuhusu mhandisi kufungwa hilo silijui, ulilouliza katika mengi ni kuwa 'anamjuaje ' nimejibu hilo, mengine muulize mtoa mada, coz sina jibu sahihi
 
Nakufagilia Mkuu LAT kwani unelekea kulifahamu hili somo fika.
Na ndio maana nilidokeza tu kuwa aidha Dr Magufuli anatafuta cheap popularity au inaelekea msomi huyu wa Kemia hajawahi kusoma masuala ya mikataba ya ujenzi.
Asitu-dissapoint wadau wa sekta hii kama Dr mwenziwe aliyeondoka, katika kusimamia kung'oa uozo katika mikataba ya ujenzi.

mkuu... asante kwa mawazo yanayojenga ....... je alichosema magufuli ni mzizi wa tatizo au ndiyo tamati ya shughuli yote ya ujenzi hufikia kwenye hili .......project completed 25% ...amount certified 95% ... je tutafika...... je magufuli anafahamu...... syndicate za makampuni kama ya kichina ambayo hushirikiana na kusindikiza tender ...... hawa ndio bogus and unscrupulous contractors..... je mkandarasi anshikwa na kufungwa.... je mkandarasi ni mtu au ni kampuni yenyewe......., je perfomace bonds and other bonds ni za nini katika conditions of contract... who is liable in this type of contracts.... sometimes siasa na vitu vinavyohusu profession ni hatari sana..... kweli nimeridhia Magufuli anatafuta cheap popularity......
 
Maamuzi ya magufuli ni kama mrema...kutafuta umaarufu kwa kurupuka bila kuangalia vitu kwa undani.

Magufuli imeitia hasara kubwa serikali jinsi alivyo deal na ile issue ya samaki, again habari zilitanda kila mahali mpaka Magufuli kupongezwa ikulu nk.

Hawezi kufanya kazi bila kusikia leo kwenye gazeti wameandika nini kuhusu yeye. Atampigia simu Kubenea, Kubenea atamsomea habari kabla ya kuchambwa....Magufuli sio msafi ni fisadi mbaya kuliko wengi tu CCM.
 
Back
Top Bottom