dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,470
- 7,443
WAONGOOOOOO........
Hospitali ya Rufaa Meta huko Mbeya hizo dawa hawatoi, ndugu yangu ni mwalimu mkoa huo kaenda wiki jana imebidi kununua!........
huku dodoma ninakoishi sijafuatilia hali ikoje,
WAONGOOOOOO........
Tatizo la mfuko ni Bodi ya NHIF yakeWAONGOOOOOO........