Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,637
- 7,920
Treatment guidelines ni suala LA kitaalam. Ni jinsi ya kutibu.Ntajibu swali na swali
Some where along the lines of the paper which you have quoted they mentioned LGA being required to adapt and implement 'STANDARD TREATMENT GUIDELINES' technically it means regardless on how local policies are planned in the end they should meet the end goals of government desires that is the national framework (ndio maana hiyo karatasi pia likaitwa devolution of health systems).
Sasa unless unaweza kuelezea government threshold to every citizen in budget kwenye hivyo vipaumbele vyake, au walau justify local expenditure to Fair Access on Care Services’ kama wanao huo uwezo to meet the national requirement na kama halmashauri hazina hiyo hela ya kufikia malengo ya sera sasa ina maana gani na akina nani wanaoathirika?
Jumlisha na changamoto za investment in amount of primary care units let alone secondary care units to meet demand access za hiyo sera unadhani halmashauri zote zinaweza fikia vipaumbele vya serikari maana hata hiyo DMO inatakiwa izingatie hivyo vitu kwenye budget yao ndio maana ata unao wa quote wanashindwa kuitimisha ubora wa system kutokana na kwamba hakuna details za data ku analyse magonjwa ambayo primary care wanatikiwa ku intervene pamoja na causes of death data to conclude..
Common sense tu hiyo national policy inatekelezeka vipi kwenye level za halmashauri bearing in ming standard treatement guidelines kama sehemu kubwa inategemea mapato yao wakati kuna variation kubwa kati ya halmashauri na halmashauri isnt that the reason wabunge kila siku wanaulizia wataalamu, zahanati kukosekana vifaa tiba na basic supporting; na kila siku jamaa wanakuja na porojo ya vipaumbele vyenu huko sasa si ndio kukimbia majukumu yao.
Kila halmashauri ina challenges zake kutokana na factors nyingi tu. We are speaking about policies.
Central government inahodhi MSD. Kwa hiyo based on prevalent diseases, utanunua dadawa MSD kutokana na halmashauri yako. Treatment guidelines ni maelezo ya kuhusu dawa gani itumike kutibu nini.
Since MSD is centralized, you should of course expect some kind of a guideline on drug transactions.
Usiende huko, huko wala siko tunkozungumzia. Wewe angalia jinsi mjadala ulivyo sideline LGAs kwenye healthcare policy hata kwenye funding.
Somebody had to let them know kuwa you can't do that. I had to let them know the role of LGAs in primary care, they omitted (I think purposely), umuhimu wa halmashauri.
Kama heading inayosema, this was supposed to be an attack on central government. Ni lazima tuzizungumzie halmashauri, funding or no funding they play a major role.
Wether they like it or not, I shifted the discussion kihalali kabisa. Sina haja ya kuharibu mijadala, Ila ni lazima tuwe wakweli.