Magu: Bibi na mjukuu wake wafumaniwa wakifanya yao

Magu: Bibi na mjukuu wake wafumaniwa wakifanya yao

Je wana uhusiano wowote wa damu? Namaanisha,huyo ni Bibi yake na kijana?

Kama NDIYO. Walaaniwe.
Kama siyo,mwacheni kijana amhudumie Bibi dozi.
Usipete kuhukumu kabla hujahukumiwa
 
View attachment 334535
Habari wanajamvi?
Huko magu bibi na mjukuu wamefumwa wanagegedana...
Hivi maadili yako wapi katika dunia ya sasa?kosa ni la nani?ni kweli binaadamu tunamtukuza shetani kiasi hiki?
Tuna kila sababu ya kumrudia Mungu kama hali imefikia mahali hapa jamani..
Mungu atuepushe tu na hila za kishetani.
Note
Kuna picha zingine lakini kwa mujibu wa maadili nimeshindwa kuziweka maana nimepokea toka kwa grup ya wasap mjukuu akiwa kambinua bibiake kabsa na anaisokomeza dudu.
acha kumwonea shetani kiherehere chao tu sasa hapo shetani kafanyaje?
 
Mnashangaa nn! Kwani ile nyimbo ya yule nampenda bibi kizee si ilitamba sana…
 
Wanaume wa bara bwana, migenye imewazidi mpaka mnagegeda bibi zenu sasa... Hamuwezi kuimbisha mabinti nini?? au ndio wanakimbilia kwa wanaume wa dar maana nasikiaga huko 80% bado mna lile linyama lirefu...
 
Mm naishangaa basata wanauzuia wimbo wa roma mkotiliki(viva roma) wameuacha wimbo wa hardmard nakupenda kikongwe ndio madhara yake haya sasa ukimuuliza bb anakwambia hata bb alikuwa binti kama cute b
 
Wanaume wa bara bwana, migenye imewazidi mpaka mnagegeda bibi zenu sasa... Hamuwezi kuimbisha mabinti nini?? au ndio wanakimbilia kwa wanaume wa dar maana nasikiaga huko 80% bado mna lile linyama lirefu...
Vibinti tatizo vina garama,!
Mfano videm vya town ukitaka kumgonga anataka hela 30000,kula na kunywa 15000,gesti 20000 tu
Hiyo makadirio ya chap chap....lkn vibibi wao wanataka wapewe dozi tu
 
Bb Ana ngozi nyororo kuliko hata vidada vya siku hizi, cheki huo mguu, ukimfunika uso kama kateenager fulani vile. Anayebisha aweke viusafiri vyake tulinganishe
 
hawa Sio ndugu wala si majirani.... Huyo Bibi ni changudoa!!
 
Mbona ina ruhusiwa kidini na moja kati ya dini kuu zahapa bongo.

Sema tatizo hawaja halalishwa tuu!! Ila mjuku na bibi / mjuku na babu...kuna dini ina ruhusu kuwa fungisha ndoa.
dini gani hiyo???
 
hivi hii habari mheshimiwa raisi MAGUFURI kaisikia kweli????
 
Heading imenishtua sana na hasa alipoanza na Magu nikajua ni jina la mtu limefupishwa
 
Back
Top Bottom