Eti kariakoo mjini!!!!! Ushamba uliokubuhu. Eneo lenyewe limejaa uswahiliswahili wa kahawa na kashata. Kwa jinsi kariakoo ilivyo na karaha kuna watu wenye uwezo wanaweza kukaa hata miaka mitano hawajakanyaga. Halafu leo eti unajivunia kariakoo mjini, ptuuuuuu!!!!!
Wahindi si wauwaji wala katili kama wasomali. siyo siri, nchi chache sana zinawakaribisha na kuwakubali
Wanajenga magorofa na hotel kama njia ya kutakasa pesa zao chafu. Matukio ya Somali pirates yametulia vipi kwa ninini wameshindwa kumalizia zile nyumba zao za bahari beach? Tusiwe kama majuha nakuanza kurusha lawama ni lazima tuwe makini na hawa watu wanaoingia nchini kwetu illegally. Nenda kwenye magodown yao nyerere road uangalie utitiri utakaokutana nao.
Kariakoo mbona ipo shwali tu kwanza huijui Kariakoo ngoja nikutajie mitaa ya Kariakoo halafu uniambie wapi wamejaa wasomali...Msimbazi, Aggery, Swahili, Nyamwezi, Congo, Mkunguni, Livingstone, Mchikichi, Uhuru, Chura, Pemba, Lukoma, Magira, Mhonda, Muheza, Kariakoo, Faru, Somali, Kipata, Manyema, Lindi, Narung'ombe, Tandamti, Raha, hiyo ni baadhi ya mitaa ya Kariakoo haya tuambie wapi wamejaa Wasomali.
Watu wengi wanasema kariakoo imejaa magorofa ya mafisadi. Inawezekana kabisa ila ukweli ninkuwa kuna wimbi la wasomali wahamiaji kununua nyumba za wazawa na kujenga hoteli na nyumba za kupangisha.
Sijui kama serikali ina mpango gani kuhusu hawa watu ambao sasa wamejaa mjini na kutishia amani.
Mtaa wa Livingstone kuna jengo refu la ghorofa limejaa wasomali na wala hakuna taarifa inayotolewa kuhusu wakaaji haramu. Ukitaka kupanga pale si chini ya dola 800 na wakiona u mswahili unaambiwa ni dola 2000 kwa mwezi.
Tunaomba jamani wakati wa kuandikisha kuhusu vitambulisho serikali iwe macho kwani hiki ndo kipindi cha nida, rita na watendaji wa mitaa kupokea mapesa ya hongo ili hawa watu waandikshwe kama raia na kupewa vitambulisho. Halafu
hawa wasomali ni wakatili na wenye madharau sana :help:
Ni kweli wasomali kariakoo ni tishio ktk biashara, sijui ndo zile hela za kupora meli kule kwao!
Watu wengi wanasema kariakoo imejaa magorofa ya mafisadi. Inawezekana kabisa ila ukweli ninkuwa kuna wimbi la wasomali wahamiaji kununua nyumba za wazawa na kujenga hoteli na nyumba za kupangisha.
Sijui kama serikali ina mpango gani kuhusu hawa watu ambao sasa wamejaa mjini na kutishia amani.
Mtaa wa Livingstone kuna jengo refu la ghorofa limejaa wasomali na wala hakuna taarifa inayotolewa kuhusu wakaaji haramu. Ukitaka kupanga pale si chini ya dola 800 na wakiona u mswahili unaambiwa ni dola 2000 kwa mwezi.
Tunaomba jamani wakati wa kuandikisha kuhusu vitambulisho serikali iwe macho kwani hiki ndo kipindi cha nida, rita na watendaji wa mitaa kupokea mapesa ya hongo ili hawa watu waandikshwe kama raia na kupewa vitambulisho. Halafu
hawa wasomali ni wakatili na wenye madharau sana :help:
:target:mada yako imetulia ila wachangiaji wengi humu JF nadhani ama hawajagungua mantiki iliyo ktk mada yako au hawaelewi security interest kwa taifa letu katika mada yako. ni kweli kwamba wasomali wanawekeza sana fedha zao katika eneo la kariakoo hapa Dsm. serikali nadhani haifutilii mapesa ya wasomali yanatoka wapi. kuna tetesi kwamba ni mapesa ya Al-shabab waliyokuwa wakiyapata kutokana na kuchukua ransom baada ya kuteka meli za nje zilizokuwa zikikatisha baharini Somalia! hawa watu sio wa kuwaamini sana. pia wako so selfish na wanyanyasaji wa wenyeji!
hahahaha! nimecheka! sana! mkuuwewe utakuwa wakuja .... mijitu ya bara bana full ushamba! ... sasa kahawa imekuwa tatizo kwako! na imekuwa kunywa kahawa ni ushamba! hivi ushawahi kupiga hii kitu ..?
tembea mkuu utoe ushamba ulimwengu wa kahawa ni mwengine kabisa! utachekwa!
:target:yap kamanda! nimegundua watu wengi humu JF hawasomi mada na kuzichambua kwa makini kabla ya kutoa comments zao! kama hii si kweli basi ukweli utakuwa wana-JF wengi wanashindwa kutofautisha JF na mitandao mingine ya kijamii. JF ni makini na inatakiwa iwe treated hivyo.Nashukuru na nimefurahi sana kutambua kuwa bado katika JF kuna great thinkers kama wewe.
Nilipigwa vijembe sana nilpotoa mada hii. Lakini tukubali tusikubali hawa wasomali kariakoo wana HIDDEN AGENDA. Wnataka kufanya kama Kenya kwani sasa estates nyingi ama majengo meng Nairobi yanamilikiwa na wasomali, wazawa wamenunuliwa na baada ya miaka si mingi watafukuzwa na wamiliki watakuwa wao. hapo ndipo tutakapokiona cha mtema kuni, KWANI MSOMALI NI KATILI, JANGILI, FEDHULI, BARADHURI, MIUAJI wasio na conscience lakini kama ulivyosema, serikali bado inawakumbatia hata kuwapa NCHI waiendeshe KIULAINI kabisa. Trust me, Kinana ni msumari wa moto wa mwisho, just wait and see yatakayotokea.
kapora kwa mamayo
Tatizo ni vyanzo vya mapato vya hawa jamaa ndiyo tatizo!Stroy za umbeya, majungu na udaku bora ukampe Shigongo sio humu,Yani ilipwe dola 800 lakin akija Mswahili dola 2000???!! Why? Acha uvivu piga kazi Mzee usiwe mvivu wa kutafuta. Kuna Wakinga kibao wana maghorofa saiv KKO je nao utasemaje?