Watu wengi wanasema kariakoo imejaa magorofa ya mafisadi. Inawezekana kabisa ila ukweli ninkuwa kuna wimbi la wasomali wahamiaji kununua nyumba za wazawa na kujenga hoteli na nyumba za kupangisha.
Sijui kama serikali ina mpango gani kuhusu hawa watu ambao sasa wamejaa mjini na kutishia amani.
Mtaa wa Livingstone kuna jengo refu la ghorofa limejaa wasomali na wala hakuna taarifa inayotolewa kuhusu wakaaji haramu. Ukitaka kupanga pale si chini ya dola 800 na wakiona u mswahili unaambiwa ni dola 2000 kwa mwezi.
Tunaomba jamani wakati wa kuandikisha kuhusu vitambulisho serikali iwe macho kwani hiki ndo kipindi cha nida, rita na watendaji wa mitaa kupokea mapesa ya hongo ili hawa watu waandikshwe kama raia na kupewa vitambulisho. Halafu
hawa wasomali ni wakatili na wenye madharau sana :help:
Kijana huijui Kariakoo, tuulize watu wa Kariakoo tukueleze kuhusu Kariakoo.
Ubaguzi wa rangi au kabila Kariakoo hakuna kabisa. Tunakuomba usituletee hilo kabisa. Pale kuna kila kabila ulijualo la Tanzania na nchi jirani. Pale kuna kila taifa ulijualo, kama haliishi hapo basi japo linatembelea hapo.
Kariakoo ni soko kubwa (si la mboga tu) bali la biashara katika Afrika mashariki na kati, pale ndio kitovu cha biashara Afrika Mashariki na kati. Tuwacheni na Kariakoo yetu na wageni zetu msituingilie.
Ufataani na chuki zenu pelekeni hukohuko.
Hata Kenya walianza hivi hivi sasa wamekuwa Al Shabaab
Kenya sio Kariakoo, achana na Kariakoo kabisa, fitna zako peleka hukohuko Kenya. Kariakoo kila mtu anakaribishwa ki namna yake akifanikiwa amma anaweza kundelea kuishi hapo amma ana ambaa. Hata Nyerere alipokuja Dar alikaribishwa hapohapo. Mkapa alikaa Livingstone na Ungoni kwenye duka la Amin, mpaka leo lipo na Amin yupo. Ali Hassan Mwinyi alikaa Livingstone, kwenye nyumba maarufu ambayo sasa ni bar bubu ya Pajero.
Kwa uchache tu nakutajia watu hao famous, Kikwete ndiyo usiseme, barza yake ilikuwa Saigon.
Na wote hao wamekuta kila kabila wapo hapo na hawakubaguliwa.
Mleta Maada anaonekana ni mtu wa bara ambaye ana roho mbaya sana(sio wabara wote)..... Acha ubaguzi mkuu!! utakuja
kufa na kijuba cha moyo
Aaaah boflooooo. Kumbe wewe mpemba eeehhh. Mi nilikuwa nahisi tu hahauaa.
mimi mnyamwezi mkuu
Seriously, WASOMALI wengi waliopo hapa bongo wako ndani ya nchi yetu illegally. Serikali yetu lazima ifanye jitihada za kusaka WASOMALI haramu. Alhamisi iliyopita nilisafiri kwenda Dubai na WASOMALI ambao hata Kiswahili hawajuwi lakini ni raia wa Tanzania. Mungu alivyonipenda bila kujua, nilikaa seat moja 18C na baadhi ya hawa watu. Kwa kuwa wote tumetoka bongo, nikaanza kuongea nao Kiswahili hakipandi na English haipandi ila ni watanzania, inakuwaje? Hawa watu si safi na hawafai kukaa kwetu kinyume na sheria, watatuletea u al shabab siku za usoni. Serikali mpo?