Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Huyo anayempiga mwenzake aje nimzidishie mara kenda ya hicho anachodai.
Weka ka-video basi tuone... kutazama ngumi za wanawake kuna raha yake bwana 😁😁😁😁😁
Kwa heshima na taadhima mkuu niwekee hiyo video hata kwa pm .....😋😋😋😋Video itaamsha hisia nyingine tena kwa wengine maana nimemsikia mtu anasema kwanini asimchanie hicho kisuruali, hii inaashiria jambo tofauti
Huyo bonge Tshirt nyeupe mbona hawaamulii wenzake wanagaragazana yeye yupo tu kasimama kijingajinga!

Huyu kati ya Tandale au M/nyamala.Inawezekama anatokea pale Magomeni usalama (chapa ya Jogoo) na huyo mwenye kisuruali anatokea Kinondoni, na kuna mwingine hapo Buguruni, wewe tafiti huyo wa kulia kwa bonge anatokea mtaa gani
Huyu kati ya Tandale au M/nyamala.
Nadhani nyuma ya pazia kuna ziada#MAGOMENI: WADADA WAPIGANA KISA UPATU
lengo la michezo ya upatu ni kuongeza kipato au kukuza biashara ya muhusika lakini mmoja wa wanachama anapotaka kuleta ujanja ujanja na kukwamisha malengo ya wengine kinachofatia huwa ni kipigo.
Tukio Hili Limetokea maeneo ya Magomeni ambapo Dada Mmoja inasemekana Hakutoa pesa ya upatu ya mwenzie ndipo ugomvi huo ulizuka na kuzua taflani katika wakazi wa maeneo hayo.
View attachment 1171500
Wewe! Anayegaragazwa ndiye mzuri kuliko wenzake.Bwana wake na huyo mwenye t shirt nyeupe atakua anafaidi sana.
Kuliko adhalilike kwa vihela vichache si angenipigia tu. Tena siku hizi kunabT pesa ya TTCL