adolf440
JF-Expert Member
- Sep 19, 2015
- 252
- 207
Treni za umeme, ndio balaa kiongozi, zinaweza kuondoka watu hawajapanda au kushuka.Tukileta treni za umeme itakuaje jamani
Treni za umeme, ndio balaa kiongozi, zinaweza kuondoka watu hawajapanda au kushuka.Tukileta treni za umeme itakuaje jamani
Huyo wa pili ilitakiwa abinywe balaa! mpuuzi sanaInasikitisha sana kwa madereva wa kitanzania kutobadirika, hapo hapo ilipotokea ajali hiyo baada a kuondolewa hizo gari zilizopata ajali, jamaa mwingine pia aka_kunja (u turn) kuelekea kama yule wa awali alivofanya.
Bahati mbaya camera/simu ilikuwa mbali!!.
Elimu gani unayoitaka wewe?!! Kila siku mnaelimishwa hakuna kukata kulia kwenye njia hizo hamsikii? Kuna alama kubwa tu,taa za kuwaongoza bado jitu linafanya uzembe kama huo mnasingizia hamjapewa elimu! Hebu tuache umbumbumbu jamani. Huu mradi hauna tatizo tatizo ni baadhi ya wabongo wako kama ng'ombe! Jitu utaikuta limevaa tai na suti unaweza kufikiri ni listaarabu kumbe hovyo kabisa afadhali ya ng'ombe wakichungwa wanatii mchungaji wao!Tatizo hakuna elimu ya utumiaji barabara kwa wananchi not to mention questionable drivers katika umiliki wao wa leseni na uzingatiaji wa sheria za barabarani. This is a deep rooted problem wala sishangai.
Kuna tatizo la msingi hapa ambalo vyombo husika inabidi kudili nalo kimkakati haswa.Hili tatizo si tu kwa hii barabara za mwendo kasi bali kwa road zote hapa tanzania. Ni kuwa zaidi ya robo tatu ya madereva barabarani si madereva (wanajua kuendesha lakini wana ufahamu finyu sana wa sheria za barabarani)..jaribu tu kuangalia watu wanavyogombea kupita kwenye vipita shoto (keep lefts-sheria zake ziko wazi kabisa) kama vile jamaa wa sevilla walivyokuwa wanawagombea liverpool..ama wanaondesha double road mtu ana spidi ndogo kabisa lakini bado amebana upande wa kulia..ama wanaoingia barabara kubwa kutoka barabara ndogo bila kujali walioko barabara kuu wanakuja na spidi gani yeye anaingia kisha bila hata wasiwasi anatembea zake spidi ishirini (na pengine yuko bize na simu)..ama wanavyopita spidi kwenye vivuko vya waenda kwa miguu (zebra)....Hili ni tatizo pana sana ambalo linahitaji jeshi la polisi na taasisi husika kujipanga sawasawa
Hebu acheni visingizio visivyo na kichwa wala miguu....Alama zipo ila mmezoea short cut, ukiambiwa zunguka huku unaona tabu unataka kukata kona au kugeuza hapo hapo uliposimama! Fuateni sheria acheni visingizio.mimi nadhani kuna changamoto kubwa sana kuhusu miundo mbinu na barabara ilivyotengenezwa....ukitokea kigogo kama unaenda kinondoni hakuna njia inayokuruhusu kwenda maeneo ya fire...sasa unapaswa kwenda kugeuza mbele ya magomeni hospitali au kuna eneo maeneo ya magomeni
si tatizo la madereva ila pia hakuna darasa lililotolewa kwa madereva maana miundo mbinu yetu mibovu hakuna njia mbadala ya kupita ukiwa mataa magomeni unataka kwenda maeneo ya muhimbili
Kilichotokea hapo si changamoto.....NI UPUMBAVU.Wewe ndio mpumbavu, hakuna kitu kinachoanza bila changamoto
Wewe umesema kweli...kuchelewa kwake kutumia hizi njia kumezowesha watu vibaya...
Jana barabara ya Samora hubby nusu agongwe...mwenzie kasimama eti yeye ananambia huyu anasimama nini na basi limeshapita...anataka kukanyaga mafuta nikamwambia cheki upande wa pili...kwa akili yake alijua ile njia ya mwendo kasi ni one way na there is no way kukawa na gari nyingine kwa interval ndogo kiasi hicho.....kumbe limepita moja na la pili lilikuwa linaelekea the other side...na hakuna mataa bali alama ya simama...shiiida...
BUT haya mabasi yasijifanye treni...
Ingekuwa tractor wangegonga...?????
Kwenye makutano lazima nao waendeshe kwa tahadhari
Nakuunga mkono chif mia kwa mia kama vile ambavyo wanalazimisha kukata pale mabibo na hapa magomeni mataa...Kilichotokea hapo si changamoto.....NI UPUMBAVU.
We ni mpumbavu na ndio mana unaona uo ni upumbavu. Ila wenye akili wanaona hizo ni changamoto kwa mradi mpya kama huo.Kilichotokea hapo si changamoto.....NI UPUMBAVU.
Kama wewe mwenyewe umeamua kutokulipa kodi (rejea ID yako) unadhani nani atabaki salama?! Mabadiliko huanza na wewe mwenyewe kwa maneno na matendo. Hiyo ID yako inatoa somo gani?!Watanzania ni wagumu sana kuelewa na kubadilika, sijui tukoje
With time wataelewa tu, tuwape muda wananchi wa Dar es Salaam ni teknolojia mpya kwetu sote.
Watanzania ni wagumu sana kuelewa na kubadilika, sijui tukoje
Wapumbavu ni nyinyi mnaleta uzembe wa wazi mnaita changamoto. Mngekuwa na akili mngevunja sheria hovyo hovyo, ni upumbavu unawasumbua ila mtanyooka tu.We ni mpumbavu na ndio mana unaona uo ni upumbavu. Ila wenye akili wanaona hizo ni changamoto kwa mradi mpya kama huo.