Magomeni: Basi lingine la UDART lagongwa

Huu mradi kwakweli utakua unakimavi yani kila siku ajali itakuwa kuna mtu anakimavi hapo siyo bure waende wakacheki kwenye TV asilia.
 
napendekeza zingekuwapo faini za papo kwa papo kama huyo mjinga aliyegonga hilo basi analipishwa akarabati basi bila kupoteza mda wa mahakamani
Kwani haya magari yote hayana insurance? Insurance zao zilipe na adhabu nyingine kali shwain kabisa
 
Elimu elimu elimu!!! Huwezi kuintroduce new system bila kuelemisha umma. Sijaona mahali kwenye TVs, Radio au magazeti kuelimisha raia jinsi ya kutumia hizi njia na jinsi ya kuepuka ajali. Imagine hata kutumia cards ilibidi iwe kwenye tvs au magazeti au radio kabla ya kutumika. Elimu elimu elimu. Tumeletewa vitu watu wamezoea kutanua hawana nidhamu ya barabara. Wengi hawajaenda hata shule ya udereva hivyo tulitegemea angalau vyombo vya habari vingewaonya kuhusu hili. Angalau train zina vizuizi unajua hiyoo inakuja unasimama.
 
Du! Kwann mkuu
Kwa sababu Watanzani wengi hawako serious with anything. Bodaboda wamekatazwa kupita kwenye barabara zao lakini bado wanapita. Vivyo kwa magari mengine. Polisi hawako seriois walau katika hizi siku za mwanzo. Umategemea nini? Lile daraja limekuwa ni nyumba ya kulala pamoja na choo. Kwa nini wassiwepo polisi wa kulinda mahali pale?
 
Haya magari yanaonekana ni boksi kabisa, kiwango Chake kiko chini sana.
 
Elimu elimu elimu!!! Huwezi kuintroduce new system bila kuelemisha umma. Sijaona mahali kwenye TVs, Radio au magazeti kuelimisha raia jinsi ya kutumia hizi njia na jinsi ya kuepuka ajali. Imagine hata kutumia cards ilibidi iwe kwenye tvs au magazeti au radio kabla ya kutumika. Elimu elimu elimu. Tumeletewa vitu watu wamezoea kutanua hawana nidhamu ya barabara. Wengi hawajaenda hata shule ya udereva hivyo tulitegemea angalau vyombo vya habari vingewaonya kuhusu hili. Angalau train zina vizuizi unajua hiyoo inakuja unasimama.
Elimu labda kwa waenda kwa miguu. Madereva wote wenye leseni ina maana wamepitia mafunzo kwa hiyo wanajua alama za taarifa, onyo na tahadhari, udereva wa kujihami n.k. Kama kuna ambaye hajaenda shule ya udereva hahitaji elimu bali adhabu kali. Anaendeshaje gari bila mafunzo? Mbona haendi theatre kufanyia wagonjwa upasuaji?
 
Tatizo tumeluka stage.zilitakiwa Zianze Barabara spesho Kwa Ajili Ya Bodaboda za Mwendo kasi.Afu NDO gari hizo
 
Na hapo yanaenda haraka tu,vipi kama yangeenda kasi?

Yangegonga 1/4 ya wakazi wa Dar ndani ya mwaka mmoja tu kama routes zingevifikia viunga vyote vya jiji.

Ni fedheha kwa polisi kukusanya 4Billion kwa mwezi kutokana na fine za makosa ya barabarani kwa mkoa mmoja tu.
 
Elimu elimu elimu!!! Huwezi kuintroduce new system bila kuelemisha umma. Sijaona mahali kwenye TVs, Radio au magazeti kuelimisha raia jinsi ya kutumia hizi njia na jinsi ya kuepuka ajali. Imagine hata kutumia cards ilibidi iwe kwenye tvs au magazeti au radio kabla ya kutumika. Elimu elimu elimu. Tumeletewa vitu watu wamezoea kutanua hawana nidhamu ya barabara. Wengi hawajaenda hata shule ya udereva hivyo tulitegemea angalau vyombo vya habari vingewaonya kuhusu hili. Angalau train zina vizuizi unajua hiyoo inakuja unasimama.
Elimu zipi wakae darasani wananchi au,kama viongozi kusema wamesema sana nadhani sasa kuwe na sheria kali yoyote atakayepita hizo njia kifungo cha jela miezi sita Bila ata msamaha,na alipe fine ya uaribifu litakuwa jambo jema sana pia waunde kikosi Kazi kama cha Moshi mjini ukipatwa umepita Tuuu wamekukamata
 
Back
Top Bottom