TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,265
- 25,539
Inasikitisha sana kwa madereva wa kitanzania kutobadirika, hapo hapo ilipotokea ajali hiyo baada a kuondolewa hizo gari zilizopata ajali, jamaa mwingine pia aka_kunja (u turn) kuelekea kama yule wa awali alivofanya.
Bahati mbaya camera/simu ilikuwa mbali!!.
Bahati mbaya camera/simu ilikuwa mbali!!.