✨️Magical Day ✨️

✨️Magical Day ✨️

Jamani mapenzi 🙌🙌🙌

Kila mtu ana ile siku yake ya kukumbukwa a fantastic day ✨
Siku ambayo akili ilitulia kwa asilimia 💯
Mwili ukapokea hisia tofauti kabisa, ukahisi msisimko wa ajabu ❤️
Ukahisi mtetemo wa ndani na nje… good moments like a movie scene 🎬

Siku ambayo kwa saa au dakika kadhaa, kila kitu kilikuwa raha tupu 😮‍💨
Utamu mpaka kisogoni, na udenda ukichuruzika kifuani 😋

Unaikumbuka hiyo siku? 😉
Au bado hujawahi kabisa kuwa na siku kama hiyo kwenye maisha yako?

Wengine mpo mpo tu sasa hivi…😅
Lakini ipo siku itafika utasema
Aahh… kumbe hii ndiyo ile siku iliyowahi kusemwa JF” 😅✨

That’s what we call a Magical Day 💫
Na huyo mtu aliyekupa hiyo magical feeling… bado mpo pamoja?
Au ni wale wa ahh, vina muda basi 🤪
Mapenzi ni tiba nzuri ❤️
Mapenzi ni dawa na uzuri wake, hiyo dawa si chungu ni tamu kuliko maelezo 😌🫶

NB: NINA MAHUSIANO 🥰🙏
hamchelewi kusema nilipia tangazo 😂
Je, unaikumbuka Magical Day yako? ✨
Mimi nitasema kwa comment 👀
ShesRise_1 👋
kila nikisoma hii nyuzi...na-D.I.N.D.A kwa furaha.
 
Ni sehem gani inakukosha zaidi mkuu kwenye huo uzi ?

Unakumbuka nini mpaka mnara uinuke 😎
kuna hiyo siku corparate gal mmoja hiv alikua ananibania mwanzoni alinicheq akaniambia..."mo njo pompeo imejaa ugiligili"...hiyo ndo siku akanipa na jina la mandingoJR...hawezi nisahau mpaka leo dadeq
 
kuna hiyo siku corparate gal mmoja hiv alikua ananibania mwanzoni alinicheq akaniambia..."mo njo pompeo imejaa ugiligili"...hiyo ndo siku akanipa na jina la mandingoJR...hawezi nisahau mpaka leo dadeq
Ulikiwasha sana aisee
Mpka ukabatizwa jina noma sana 🔥😀
Mandingo ina maana gani kwani😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom