ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 7,366
- 17,960
- Thread starter
- #141
Basi lolote baya limkuteWa moto balaaa🤣
Basi lolote baya limkuteWa moto balaaa🤣
🤣🤣 ngoja akukute! Na sijui kapotelea wapi🙆♂️Basi lolote baya limkute
Akija tutamuuliza alikua wapi🤣🤣 ngoja akukute! Na sijui kapotelea wapi🙆♂️
Si kawaida yake, atakuwa kakamatwa, kakamatika walah🤣Akija tutamuuliza alikua wapi
😅
Pengine ana matatazo labdaSi kawaida yake, atakuwa kakamatwa, kakamatika walah🤣
hiyo picha inahusiana vipi na magic day yako😅😅Jamani mapenzi 🙌🙌🙌
Kila mtu ana ile siku yake ya kukumbukwa a fantastic day ✨
Siku ambayo akili ilitulia kwa asilimia 💯
Mwili ukapokea hisia tofauti kabisa, ukahisi msisimko wa ajabu ❤️
Ukahisi mtetemo wa ndani na nje… good moments like a movie scene 🎬
Siku ambayo kwa saa au dakika kadhaa, kila kitu kilikuwa raha tupu 😮💨
Utamu mpaka kisogoni, na udenda ukichuruzika kifuani 😋
Unaikumbuka hiyo siku? 😉
Au bado hujawahi kabisa kuwa na siku kama hiyo kwenye maisha yako?
Wengine mpo mpo tu sasa hivi…😅
Lakini ipo siku itafika utasema
Aahh… kumbe hii ndiyo ile siku iliyowahi kusemwa JF” 😅✨
That’s what we call a Magical Day 💫
Na huyo mtu aliyekupa hiyo magical feeling… bado mpo pamoja?
Au ni wale wa ahh, vina muda basi 🤪
Mapenzi ni tiba nzuri ❤️
Mapenzi ni dawa na uzuri wake, hiyo dawa si chungu ni tamu kuliko maelezo 😌🫶
NB: NINA MAHUSIANO 🥰🙏
hamchelewi kusema nilipia tangazo 😂
Je, unaikumbuka Magical Day yako? ✨
Mimi nitasema kwa comment 👀
ShesRise_1 👋
Heb ngoja kwanza picha umeielewaje 😅hiyo picha inahusiana vipi na magic day yako😅😅
Sema akyamunguIla mapenzi matamu jamani.
mi hata sijaelewa kitu hebu nieleweshe kidonchi👌Heb ngoja kwanza picha umeielewaje 😅
Hata mimi sijui 🫣mi hata sijaelewa kitu hebu nieleweshe kidonchi👌
khaaa😄 huo ni ulongoooHata mimi sijui 🫣
Isiwe hivyo jamani!Pengine ana matatazo labda
Ngoja tumsubiri
🤣🤣🤣🤣Sema akyamungu
Mtoto wa watu anapambana akupe magical day, wewe unarukaruka kama popcorn! Shaurilo, utabakia kuisikia tu🤣Mimi sina hiyo siku au mimi ni kivuli😁
H n kweli kabisa aisee, Ndo mana Hua naachwa kila wakati, juzi kati tuu hapa nmeachwa.🤣🤣🤣🤣
Sasa wapare na mapenzi wapi na wapi!!
Wapambanaji wengi ni watafutaji akijipata hatotumia nguvu nyingi hivi🤭Mtoto wa watu anapambana akupe magical day, wewe unarukaruka kama popcorn! Shaurilo, utabakia kuisikia tu🤣
Tatizo upare🤣H n kweli kabisa aisee, Ndo mana Hua naachwa kila wakati, juzi kati tuu hapa nmeachwa.
Mbaya zaidi unakuta una girl unamuona Huyu ndo natoboa nae Ila anakuja kukuacha 😭
Cjui nakosea wap aisee
Tulia upewe magical day🤣Wapambanaji wengi ni watafutaji akijipata hatotumia nguvu nyingi hivi🤭
Aah mi staki bwana🤣Tulia upewe magical day🤣