✨️Magical Day ✨️

✨️Magical Day ✨️

Sijui ila sijui kama Kuna binadamu anasumbuka na mimi ni upuuzi wake sio shida zangu

Ila kudhani Kuna wengine wanakufiria sana kuliko uhalisia nao ni ugonjwa wa akili

Maisha hayasimami hata usipokuwepo
 
Kijakazi Echolima1 Chizi Maarifa magical day yao walitoa tope jepesi
Kwa kuwa wewe ni Shoga unafikiri wote ni Mashoga kama wewe?

Unaanzisha Post ili utangaze Ushenzi wako humu kutwa kuchwa huoni raha bila kuzungumzia Ushenzi wako!! Na unataka kuligeuza Jukwaa hili liwe la kuzungumzia Ushoga wako tu?

Acha ujinga na upumbavu wako!!
 
Nyie mnaipataka kila siku😅 haiwezekana kuna ile kubwa kuliko kama lile bao la chama

Itakuwa imetokea miaka ming sana nyuma. Nishasahau.
Alaf first Love yangu ndio nimeioa.
mapenz yetu yale ya mwanzo yalikuwa ya moto usiooteka.
May be those days unaweza ukasema ndio zilikuwa magical days kwangu.

Waliosema Love Fade hawakukosea.
 
Jamani mapenzi 🙌🙌🙌

Kila mtu ana ile siku yake ya kukumbukwa a fantastic day ✨
Siku ambayo akili ilitulia kwa asilimia 💯
Mwili ukapokea hisia tofauti kabisa, ukahisi msisimko wa ajabu ❤️
Ukahisi mtetemo wa ndani na nje… good moments like a movie scene 🎬

Siku ambayo kwa saa au dakika kadhaa, kila kitu kilikuwa raha tupu 😮‍💨
Utamu mpaka kisogoni, na udenda ukichuruzika kifuani 😋

Unaikumbuka hiyo siku? 😉
Au bado hujawahi kabisa kuwa na siku kama hiyo kwenye maisha yako?

Wengine mpo mpo tu sasa hivi…😅
Lakini ipo siku itafika utasema
Aahh… kumbe hii ndiyo ile siku iliyowahi kusemwa JF” 😅✨

That’s what we call a Magical Day 💫
Na huyo mtu aliyekupa hiyo magical feeling… bado mpo pamoja?
Au ni wale wa ahh, vina muda basi 🤪
Mapenzi ni tiba nzuri ❤️
Mapenzi ni dawa na uzuri wake, hiyo dawa si chungu ni tamu kuliko maelezo 😌🫶

NB: NINA MAHUSIANO 🥰🙏
hamchelewi kusema nilipia tangazo 😂
Je, unaikumbuka Magical Day yako? ✨
Mimi nitasema kwa comment 👀
ShesRise_1 👋
Lipia tangazo 🥹
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom