✨️Magical Day ✨️

✨️Magical Day ✨️

Kwahiyo hiyo picha ndio future wife
Then huyo kijana ndio wewe
Yaan nikimtazama huyo mdada huwa natabasamu kwa wivu. Afu kuna mawazo lukuki huwa yanapita kichwani kwa spidi kali. Nikisoma maneno hayo huwa nafurahia.
Tabasamu lake ni la mahaba na upendo wa ukweli.

Ila dunia....
Hivi ni ex wangu huyo.
 
Unatabasamu kwa hiyo picha tu 🤣

Inaonekana una mda haujaonja aisee
Pole sana 😢
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom