Maghembe: Tanzania sio koloni la Kenya

Maghembe: Tanzania sio koloni la Kenya

sorry for this.. ni vigumu kutenganisha prof wa TZ na form 4 leaver... eg liiipumbba, na huyo megwembe
 
kwani huu utarii si ni biashara......biashara mashindano aiseee,......bei ya panga ubungo tsh.20000/=,buguruni tsh.500/= hivi mimi ntaenda ubungo????
huyu maghembe uprofesa wake ni halisi au ndo wale jina lake la kuzaliwa halifanani na lakwenye vyeti vyake vya elimu???????????
mauchwara wamechaguana...........
 
Kauli ya hovyo sijawahi kusikia.Guilty conscience ,ukoloni wa Tanganyika Zanzibar unamvuruga mawazo.
 
unaposema unataka watalii matajiri maana yake ni nini?wakati kwenye kulipa park fees hakuna bei ya tajiri na masikini?kwa hili ongezeko la vat kwenye utalii Tz tunakwenda kukosa wageni wengi sana this time
 
huko ndo kujitoa ufahamu
yaani na uprof wake bado anashindwa kureason out impact za hiyo vat
 
Mheshimiwa Rais yasikie hayo
Prof amejitoa akili kuogopa mijadala! Sijui wakiwa ccm wanaogopa nini! Wanapoteza uwezo wa kufikiria japo kidogo tu! Njaa mbaya sana ikiwa kichwani!! Namuone huruma sanaa huyu Prof mambo yakienda kombo utashangaa atasema tumemlisha maneno!
 
Anamuangusha Mh Rais katika utendaji wake kwann ameshindwa kuhisi hatari ya kuongeza Vat kwenye utalii hapo ni big mistake, mtangulizi wake yaani Waziri nyalandu aliliona hilo na kupata ushauri kwa wadau juu ya impact yeye akawa msikivu, na itakua na gharama kuanza kujisafisha kwa wageni tukiondoa naomba hiyo kodi iondolewe
 
Nakuomba Mh Rais angalia uokoe ktk anguko la utalii baada ya msaidizi wako yaani Waziri mwenye dhamana kushindwa kabisa kusoma hatari ya kuongeza Vat kwenye utalii, vilevile kwa nia njema kabisa tengua Nafasi yake kwa maslahi ya nchi na uchumi wetu God bless you, your excellency
 
Tunataka quality na siyo quantity, kumbuka kuwa cheap holliday destination kuna madhara makubwa sana na siyo endelevu na isitoshe vivutio vyetu Kama Serengeti na hifadhi nyingine haziwezi kumudu mass tourism kwani mass tourism huaribu mazingira na sisi tunataka baada ya miaka 500 bado kuwa na ngorongoro au Serengeti hivyo ni sawa kabisa kuchukuwa watalii wachache matajiri na wastaarabu ambao pia watatunza mazingira yetu badala ya kujaza beach boy wa Kizungu ambao hela hawana kazi kuzurula tu beach, kuvuta bangi na kuharibu beach zetu!
mbona ufaransa yenye watalii 80mln hawaharibu mazingira. tuweke mikakati na miundombinu kuhakikisha watalii masikini kwa matajiri wanakuja na hawaharibu hayo mazingira. pengine hakuna vyoo kwenye public beaches zetu harafu unasingizia watalii. coco beach na copacabana zote ni public beaches lakini niambie tajiri wa kuja coco au beach mavi ya ikulu?. kwenye sera ya utalii serikali imechemka mbaya.
 
Safi saana! Hii ndiyo aina uongozi niliyoisubiri maisha yangu yote, dadadeki!
Hatutaki Watalii masikini wa kugombania chips mayai na sisi kitaani, tunataka Watalii wa kuspend hela ndefu, hao watalii masikini kwanza wanaharibu mazingira yetu!

Very short sighted and apparently lacking in basic information about the Tourism industry. Namshauri Profesa afanye utafiti na si kuambiwa platitutdes. Asilimia kubwa ya watalii ni wenye kipato cha kati Ulaya na Marekani na hawana maelfu ya dola ya kupoteza katika mbuga moja.
 
Nakuomba Mh Rais angalia uokoe ktk anguko la utalii baada ya msaidizi wako yaani Waziri mwenye dhamana kushindwa kabisa kusoma hatari ya kuongeza Vat kwenye utalii, vilevile kwa nia njema kabisa tengua Nafasi yake kwa maslahi ya nchi na uchumi wetu God bless you, your excellency

Anguko la sekta la utalii lilitokea Waziri Maghembe alipokuwa hapo miaka ya nyuma na sasa Rais Magufuli kamrudisha. Sasa badala ya kujifunza kutoka makosa yake anaendeleza kiburi na short sightedness yake ya awali. Rais Magufuli asipotambua kuwa waziri wake huyu ni jipu basi ataona serikali yake itakavyododa muda si mrefu pamoja na juhudi zake binafsi Rais ya kuleta mabadiliko ya kweli.
 
Very short sighted and apparently lacking in basic information about the Tourism industry. Namshauri Profesa afanye utafiti na si kuambiwa platitutdes. Asilimia kubwa ya watalii ni wenye kipato cha kati Ulaya na Marekani na hawana maelfu ya dola ya kupoteza katika mbuga moja.

Acha kuongopa, middle class wa Ulaya, Ujapani au USA hawezi kushindwa kuja holliday TanZania kama ameamua kufanya hivyo kwa sababu ya ongezeko ya 18 % VAT, kuna Wazungu kibao wanaotumia mpaka Euro/Dolla 10 000 kwa wiki moja tu na hiyo ni kawaida!
 
mbona ufaransa yenye watalii 80mln hawaharibu mazingira. tuweke mikakati na miundombinu kuhakikisha watalii masikini kwa matajiri wanakuja na hawaharibu hayo mazingira. pengine hakuna vyoo kwenye public beaches zetu harafu unasingizia watalii. coco beach na copacabana zote ni public beaches lakini niambie tajiri wa kuja coco au beach mavi ya ikulu?. kwenye sera ya utalii serikali imechemka mbaya.

Sasa Ufaransa ni cheap Holliday destination? Kama unafikiri Ufaransa ni cheap holliday destination weka vihela vyako halafu panda ndege uende halafu wakikuuliza viza waambie unakwenda holliday utakaa kwenye hema na kushinda beach kuanzia asubuhi mpaka jioni halafu uone kama watakupa viza!

Cheap Holliday destination kwa Ulaya ziko Mallorca huko Uhispania na hivi ninavyoandika Serikali ya Uhispania imefunga beach ya Mallorca na hawataki tena watalii masikini kwa maana wameshaharibu mazingira, wanatumia madawa ya kulevya na ghasia zote!
 
ile dhana ya waheshimiwa mizigo iliishia wapi ?tehe teh tehe........!
 
Kwa kuwa kauli hii imetoka kwa "mzigo" kuijadili ni kupoteza muda, tuache wakati umkumbushe yeye ni nani maana haamini kauli iliyotolewa kuhusu yeye. Acha hili litimie ajiamini yeye ni zigo.
 
Sasa Ufaransa ni cheap Holliday destination? Kama unafikiri Ufaransa ni cheap holliday destination weka vihela vyako halafu panda ndege uende halafu wakikuuliza viza waambie unakwenda holliday utakaa kwenye hema na kushinda beach kuanzia asubuhi mpaka jioni halafu uone kama watakupa viza!

Cheap Holliday destination kwa Ulaya ziko Mallorca huko Uhispania na hivi ninavyoandika Serikali ya Uhispania imefunga beach ya Mallorca na hawataki tena watalii masikini kwa maana wameshaharibu mazingira, wanatumia madawa ya kulevya na ghasia zote!
huwezi kuamini. ila kwa wazungu hasa wa EU ni rahisi kutembelea ufaransa kuliko Tz. wazungu maskini wanatoka UK, GERMmany nk kwa urahisi na kwenda kupigwa tan kwenye beach za mediterania ufaransa. unafikiri hao miln 80 wote ni mamilionea? kwa tz kusema tunataka watalii matajiri ni sawa na kutaka kuuza nguo kutoka urafiki kwa bei ya madesigner wa Italy!
 
Back
Top Bottom