Huyo mzee toka atoke SUA naona anataka kosa busara...pia ishu nyingine ni kwamba hana uzoefu wala hajui kabisa ishu za operation na market trend ya utalii...sasa anaposhauriwa na watu husika wa field hiyo yeye analeta ubabe pasipo tija!!!Mzee Magembe weka hakiba ya maneno baba,hizi nchi zipo jirani na zina shabihiana hasa kwenye mali za asili,sasa wadau wa utalii wanapokushauri au kukuambia jambo ujue kuna jambo wameliona baba.
TRA walikanusha nini?Atakuja kukanusha taarifa kama walivyofanya TRA jana
hujui hao maskini ndiyo wanaatuachia pesa nyingi. mtalii tajiri anafikia hoteli za kitajiri ambazo nyingi ni za wageni hivyo hela inarudi ughaibuni. hawa maskini tunabanana huku mitaani kwenye hotel za wabongo na pesa yote inabaki. walola bwana.
hilo nimeliona hapa nairobi baada ya tanzania kuweka kodi kwa watalii ,serikali ya kenya imeanza kusambaza matangazo hayo kwenye vyombo vya habari kuhusu hii kodi jinsi itakavyoathiri sekta ya utalii tanzaniaMoshi. Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amesema Tanzania siyo koloni la Kenya kwamba kila mipango yake ya maendeleo itegemee Taifa hilo.
“Kenya siyo sehemu ya Tanzania na sisi (Tanzania) si koloni la Kenya. Kenya ni nchi tofauti, Uganda ni nchi tofauti, Uingereza ni nchi tofauti,” amesema Profesa Maghembe.
Profesa Maghembe ametoa kauli hiyo kufuatia malalamiko ya mawakala wa utalii wanaodai hatua ya Serikali kutoza Vat kwenye utalii kutaathiri sekta hiyo na kwamba, watalii wengi wamesitisha safari zao na wengi wameamua kwenda Kenya kwa vile nchi hiyo imeondoa kodi hiyo.
“Hizi ni kodi ndani ya Tanzania. Kenya ina mazingira tofauti kabisa na Tanzania. Hatuwezi kupanga kodi kwa maendeleo ya nchi yetu tukiwatazama wao,” amesema.
Chanzo:Mwananchi online
kumbe kagame ni rais wa nchi mbili jpm ni gavana wa jimbo la tanzaniaRaisi Magufuli ni genius watu mediocre hawawezi kumuelewa, hivi wewe unajua Kagame ni nani Dunia hii?
Unajua influence ya Kagame wewe kwa Wazungu?
Waulize Ufaransa na Ujerumani, Kagame ndiyo raisi pekee hapa Afrika anayeweza kuongea na wakubwa wa hii Dunia, Kagame ni namba nyingine usiguse kabisa ...
ukiweka VAT maskini hawatakuja. unajua matajiri wanakujaga na maguide wao? jamaa mmoja aliandika experience yake ya kupanda klm. kulikuwa na makundi mao wakiwa na guide mbongo na wengine matajiri na guide mzoefu toka US. walivyopata altitude sickness na mbogo kuonyesha incompetence alianza kutamani jinsi guide wa US alivyo sharp. sema hakuwa na mpunga. lakini hela yake iliajiri guide mbongo. na matajiri waliaji guide wa US. ingekuwa amri yangu ningetoza hela ndogo sana. kkila mtu aje. morroco wanawatalii 10m kwa mwaka sisi 1m lakini mashauo tele.Ndiyo maana tumeweka vat!
Sio tu kuwa jirani, Kenya ni washindani wetu katika biashara ya utalii. Kwa watu wa masoko ni Lazima wafanye SWOT analysis kuhusu sekta ya utalii. Kama wahusika wetu hawafahamu hili, tumekwisha kibiashara.
Kwenye ishu nyeti kama tutaweza kubaini maamuzi yalifanywa watu wenye werevu au wenye digrii - uchwara
ukiweka VAT maskini hawatakuja. unajua matajiri wanakujaga na maguide wao? jamaa mmoja aliandika experience yake ya kupanda klm. kulikuwa na makundi mao wakiwa na guide mbongo na wengine matajiri na guide mzoefu toka US. walivyopata altitude sickness na mbogo kuonyesha incompetence alianza kutamani jinsi guide wa US alivyo sharp. sema hakuwa na mpunga. lakini hela yake iliajiri guide mbongo. na matajiri waliaji guide wa US. ingekuwa amri yangu ningetoza hela ndogo sana. kkila mtu aje. morroco wanawatalii 10m kwa mwaka sisi 1m lakini mashauo tele.
Kunamiundombinu gani ya kitalii kuwavutia hao watalii matajiri??Safi saana! Hii ndiyo aina uongozi niliyoisubiri maisha yangu yote, dadadeki!
Hatutaki Watalii masikini wa kugombania chips mayai na sisi kitaani, tunataka Watalii wa kuspend hela ndefu, hao watalii masikini kwanza wanaharibu mazingira yetu!
Hawalipagi kodi hao. Piga jembe vuna kodi wajanja sanaMzee Magembe weka hakiba ya maneno baba,hizi nchi zipo jirani na zina shabihiana hasa kwenye mali za asili,sasa wadau wa utalii wanapokushauri au kukuambia jambo ujue kuna jambo wameliona baba.
Kunamiundombinu gani ya kitalii kuwavutia hao watalii matajiri??
Tunakivutio gani gani ambacho ni special kiasi hakipo kwa wapinzani wetu katika utalii??
Tumetangaza kiasi vivutio vyetu kiasi kwamba dunia inafaham tz kunavivutio aina gani??
Je wajua kuwa kabula ya kupandisha kodi sis tulikuwa ghali katika nchi za afrka kwenye soko la utalii (07 index) nasas tunaongoza kwa kuwa ghali??
Kwa mwaka tz inaweza pata watalii wangapi matajiri?
Ni hotel ngapi zitakazo funga kwa kukosa watalii??
Ni watz wangap watakosa ajira??
Hizo chips unazosema mnagombania ni wakulima wangapi watakosa soko la kuudhia bidhaa zao??
Ulisha soma riport ya world bank ilivyoonyesha tz inaweza kusanya hadi tirioni 21Tsh kwa mwaka huo na hyo ndo ilikuwa bajet yetu(2014) kunapage yoyote ile ilionyesha hzo trion 21 zitapatika kwa kuongeza kodi??
Au nawew umeshikiwa akili zako na wanasiasa??
Amka achakuamini kila kitu ambachounaambiwa na mwanasiasa wa tz hii
Naona umeshindwa kujib hoja zote hizo. Basi swari moja unamiundo mbinu gani ya kitalii kushindanisha na SA ili tuwapate hao ambao ni aghali??Acha kufikuria kimaskini, sisi ndiyo ni holliday destination aghali klk nchi nyingine na Hilo ni kwa makusudi kabisa ni jambo jema ili kutunza vivutio vyetu, hatutaki mass tourism kwa maana siyo endelevu waulize Wakenya walivyoharibu Masai Mara kwa sababu ya kuruhusu cheap mass tourism, Malindi na Lamu yote imeuzwa kwa Wataliano Leo hii Malindi kiitaliano ni lugha kikazi huko Malindi vijana wa Kikenya wameharibiwa na Wazungu wa cheap tourism wanafanya sex tourism Kenya iko documented mpaka na UN hiyo sex tourism ya Kenya, mimi nimefika Malindi inatia kinyaa!
Hivyo hatutaki nchi yetu ifikie huko tunataka watalii wachache wenye fedha lkn pia wastaarabu!