Maghembe: Tanzania sio koloni la Kenya

Maghembe: Tanzania sio koloni la Kenya

Mzee Magembe weka hakiba ya maneno baba,hizi nchi zipo jirani na zina shabihiana hasa kwenye mali za asili,sasa wadau wa utalii wanapokushauri au kukuambia jambo ujue kuna jambo wameliona baba.
Sio tu kuwa jirani, Kenya ni washindani wetu katika biashara ya utalii. Kwa watu wa masoko ni Lazima wafanye SWOT analysis kuhusu sekta ya utalii. Kama wahusika wetu hawafahamu hili, tumekwisha kibiashara.

Kwenye ishu nyeti kama tutaweza kubaini maamuzi yalifanywa watu wenye werevu au wenye digrii - uchwara
 
Raisi Magufuli ni genius watu mediocre hawawezi kumuelewa, hivi wewe unajua Kagame ni nani Dunia hii?
Unajua influence ya Kagame wewe kwa Wazungu?
Waulize Ufaransa na Ujerumani, Kagame ndiyo raisi pekee hapa Afrika anayeweza kuongea na wakubwa wa hii Dunia, Kagame ni namba nyingine usiguse kabisa ...
Jua kwanza nchi gani za kibepari zipo nyuma ya PK na zinazompa kiburi ndo uje kuongea hapa.

Jeshi la RDF limekua trained na linakua trained na US AFRICOM.

Chunguza ujue Marekani wamewapa pesa na silaha kiasi gani Rwanda ndo uje kuongea hapa.
 
Safi saana! Hii ndiyo aina uongozi niliyoisubiri maisha yangu yote, dadadeki!
Hatutaki Watalii masikini wa kugombania chips mayai na sisi kitaani, tunataka Watalii wa kuspend hela ndefu, hao watalii masikini kwanza wanaharibu mazingira yetu!
...Anapogombania chips mayai na wewe, anakuwa ametumia hela ya nani? Mjombako?

...Hao wenye kuspend hela ndefu, malipo wanafanya wapi? Wanamlipa nani?
 
Safi saana! Hii ndiyo aina uongozi niliyoisubiri maisha yangu yote, dadadeki!
Hatutaki Watalii masikini wa kugombania chips mayai na sisi kitaani, tunataka Watalii wa kuspend hela ndefu, hao watalii masikini kwanza wanaharibu mazingira yetu!
Kwani kwenu gisenyi kuna utalii gani?
 
Jua kwanza nchi gani za kibepari zipo nyuma ya PK na zinazompa kiburi ndo uje kuongea hapa.

Jeshi la RDF limekua trained na linakua trained na US AFRICOM.

Chunguza ujue Marekani wamewapa pesa na silaha kiasi gani Rwanda ndo uje kuongea hapa.

Ndiyo maana nikasema usicheze na Kagame, hakuna Kiongozi wa Kiafrika mwenye access na wakubwa wa hii Dunia kama Kagame!
 
Raisi Magufuli ni genius watu mediocre hawawezi kumuelewa, hivi wewe unajua Kagame ni nani Dunia hii?
Unajua influence ya Kagame wewe kwa Wazungu?
Waulize Ufaransa na Ujerumani, Kagame ndiyo raisi pekee hapa Afrika anayeweza kuongea na wakubwa wa hii Dunia, Kagame ni namba nyingine usiguse kabisa ...
Ndio unatuhakikishia kuwa kwenu ni gitarama,kumbuka humu kuna member aliwahi kukueleza hilo
 
Sasa utalii wa kenya na Tanzania unafanana isipokuwa sisi tuna mlima Kilimanajro iweje tusiwaangalie? Naonaga kampuni ambazo zinauza bidhaa zinazofanana lazima zinaangaliana na kupanga kuendana na mwingine ili kuvutia wateja, why nitembelee Tanzania nilipe $1000 kwenda kuona simba, wakati naweza muona kenya kwa $500. Hawa maprof wa Tanzania ni wa ajabu Mno! Yaani maghembe ni mwepesi kichwani kama tissue!
Eti ulipe $1000 kwenda moshi kuuchungulia mlima kilimanjaro wakati kenya unalipa 300$ unauona!
 
Safi saana! Hii ndiyo aina uongozi niliyoisubiri maisha yangu yote, dadadeki!
Hatutaki Watalii masikini wa kugombania chips mayai na sisi kitaani, tunataka Watalii wa kuspend hela ndefu, hao watalii masikini kwanza wanaharibu mazingira yetu!
Hao wa kuspend hela ndefu mmewaandalia mazingira!!?
Miundombinu ovyo...huduma hovyo....
 
watalii maskini wakijazana ktk mbuga zetu wanazichafua.🙁
 
Sasa utalii wa kenya na Tanzania unafanana isipokuwa sisi tuna mlima Kilimanajro iweje tusiwaangalie? Naonaga kampuni ambazo zinauza bidhaa zinazofanana lazima zinaangaliana na kupanga kuendana na mwingine ili kuvutia wateja, why nitembelee Tanzania nilipe $1000 kwenda kuona simba, wakati naweza muona kenya kwa $500. Hawa maprof wa Tanzania ni wa ajabu Mno! Yaani maghembe ni mwepesi kichwani kama tissue!
hahahahaha tishu,hasa iliyolowa.
 
Safi saana! Hii ndiyo aina uongozi niliyoisubiri maisha yangu yote, dadadeki!
Hatutaki Watalii masikini wa kugombania chips mayai na sisi kitaani, tunataka Watalii wa kuspend hela ndefu, hao watalii masikini kwanza wanaharibu mazingira yetu!
hujui hao maskini ndiyo wanaatuachia pesa nyingi. mtalii tajiri anafikia hoteli za kitajiri ambazo nyingi ni za wageni hivyo hela inarudi ughaibuni. hawa maskini tunabanana huku mitaani kwenye hotel za wabongo na pesa yote inabaki. walola bwana.
 
Kuna mdau jana jumamosi aliyesikiliza kipindi cha power breakfast on saturday cha clouds fm wakati waziri wa fedha na mipango akizungumza kuhusu habari ya kupungua kwa watalii kwasababu ya vat? Kama yupo mdau aliyesikiliza atuambie waziri alisemaje? Mimi sikusikiliza kipindi ila watangazaji wa kipindi walisema waziri wa fedha Dr. Mpango ataongelea kuhusu hilo swala
 
Atakuja kukanusha taarifa kama walivyofanya TRA jana
It is true, Mkulu akibaini kuwa hiyo VAT kwa ajili ya watalii itasababisha anguko kubwa sana la kiuchumi, usije shangaa akawaamrisha watendaji wake watengue hiyo VAT kwa wageni.

Na hapo Mkuu anaweza akaua ndege 2 kwa mpigo kwa maana ya kuitengua hiyo VAT kwa wageni na kumtumbua huyo Maghembe mwenye kiburi na jeuri ya hali ya juu.........
 
Back
Top Bottom