Maghembe: Tanzania sio koloni la Kenya

Maghembe: Tanzania sio koloni la Kenya

Raisi Magufuli ni genius watu mediocre hawawezi kumuelewa, hivi wewe unajua Kagame ni nani Dunia hii?
Unajua influence ya Kagame wewe kwa Wazungu?
Waulize Ufaransa na Ujerumani, Kagame ndiyo raisi pekee hapa Afrika anayeweza kuongea na wakubwa wa hii Dunia, Kagame ni namba nyingine usiguse kabisa ...

teh! koloni la rwanda
 
Sasa utalii wa kenya na Tanzania unafanana isipokuwa sisi tuna mlima Kilimanajro iweje tusiwaangalie? Naonaga kampuni ambazo zinauza bidhaa zinazofanana lazima zinaangaliana na kupanga kuendana na mwingine ili kuvutia wateja, why nitembelee Tanzania nilipe $1000 kwenda kuona simba, wakati naweza muona kenya kwa $500. Hawa maprof wa Tanzania ni wa ajabu Mno! Yaani maghembe ni mwepesi kichwani kama tissue!
Wasomi wa nchi hii shida sana!Hiyo kauli huwezi amini kama imetolewa na Prof.
 
Kawambia ukweli,asante profesa welevu wamekuelewa
 
Hapo tunahitaji kumpata mtaalamu wa lugha
Wasomi wa maandiko (Biblia) huwa wanaeleza kuwa, kuna wakati viongozi katika jamii wakimkasirisha Mungu huwa anawapiga upofu, inawezekana hawa wa kwetu nao wamemkasirisha Mungu-hawaoni!
 
kisu cha ngariba said:
Hila tunaweza kuchukua ushauri na wataalam kutoka Rwanda.
Mkikosa hoja za maana Mna ishi kwa kukalili
 
Wasomi wa maandiko (Biblia) huwa wanaeleza kuwa, kuna wakati viongozi katika jamii wakimkasirisha Mungu huwa anawapiga upofu, inawezekana hawa wa kwetu nao wamemkasirisha Mungu-hawaoni!
Kwa kuwa tuna muamini mungu basi inawezekana mkuu
 
Sasa utalii wa kenya na Tanzania unafanana isipokuwa sisi tuna mlima Kilimanajro iweje tusiwaangalie? Naonaga kampuni ambazo zinauza bidhaa zinazofanana lazima zinaangaliana na kupanga kuendana na mwingine ili kuvutia wateja, why nitembelee Tanzania nilipe $1000 kwenda kuona simba, wakati naweza muona kenya kwa $500. Hawa maprof wa Tanzania ni wa ajabu Mno! Yaani maghembe ni mwepesi kichwani kama tissue!
Hawa Maprof.wa wabongo ati ni waajabu mno....!!!???
Labda ndo maana tunataka kuazima wasomi Rwanda
 
Moshi. Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amesema Tanzania siyo koloni la Kenya kwamba kila mipango yake ya maendeleo itegemee Taifa hilo.

“Kenya siyo sehemu ya Tanzania na sisi (Tanzania) si koloni la Kenya. Kenya ni nchi tofauti, Uganda ni nchi tofauti, Uingereza ni nchi tofauti,” amesema Profesa Maghembe.

Profesa Maghembe ametoa kauli hiyo kufuatia malalamiko ya mawakala wa utalii wanaodai hatua ya Serikali kutoza Vat kwenye utalii kutaathiri sekta hiyo na kwamba, watalii wengi wamesitisha safari zao na wengi wameamua kwenda Kenya kwa vile nchi hiyo imeondoa kodi hiyo.

“Hizi ni kodi ndani ya Tanzania. Kenya ina mazingira tofauti kabisa na Tanzania. Hatuwezi kupanga kodi kwa maendeleo ya nchi yetu tukiwatazama wao,” amesema.
 
...Huu ni ujinga wa hali ya juu.

...Shame upon you!

Humjui Kagame wewe, waulize Ufaransa na Ujerumani kwa nini walimuomba msamaha, ni Raisi gani wa Kiafrika Wazungu washawahi kumuomba radhi?
 
Kenya ndio muekezaji wa pili Tanzania,
Tayari sisi ni koloni la Kenya
 
Back
Top Bottom