Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,931
- 1,727
Acha kuota na kupotosha, afu hata neno mzungu unaanza na herufi kubwa. Niaje?Tuliishi na jirani na Mzungu Obay , yeye alipo ondoka alitoa hadi fence aliye weka yeye mwenyewe, huo ni uzungu jamani.

Labda yalikuwa masharti ya mganga kubeba kila kitu... Lau umeliaibisha taifa. Still kwenye profile yake face book anajiita waziri wa mambo ya ndani, kivipi?
He! uchuro huo tenakuna wengine huwa wanakunya ndani ii mpangaji mpya apate kazi ya kudeki uharo...
Na Maggid Mjengwa,
UKITAKA kumjua Mwafrika, basi, mwangalie siku anapohama. Ndivyo tulivyo. Hata kwenye uongozi, ni hivyo hivyo. Mwangalie kiongozi wa Afrika anapoingia
na anapotoka kwenye madaraka.
Ndio, hana tofauti sana na Mswahili anayehama kutoka Mwananyamala kwenda Magomeni. Mswahili wa
Mwananyamala, hata kama atahakikishiswa, kuwa anakohamia Magomeni vyumba
vyote vina taa za balbu na pazia za madirishani na milangoni, bado,
Mswahili huyu atahakikisha, kabla ya kuhama, anangoa balbu na pazia
zote kutoka nyumba anayohama. Mpangaji mpya atakayekuja atajua mwenyewe!
Huyo ndio Mwafrika, ingawa si wote, hata ukimchanja kwenye damu yake,
utakuta chembe chembe za ushamba uliochanganyika na hila.
Hakika, hizo ni hulka za Mwafrika, hata azaliwe na kukulia Ulaya au Marekani.
Si tumesikia majuzi, Waziri aliyepoteza ubunge alihakikisha anahamisha
mpaka pazia kutoka kwenye ofisi ya mbunge jimboni kwake. Naambiwa, kuwa
Waziri huyo kakulia Marekani. Kumbe, kukulia Marekani hakumwondolei
Mwafrika hulka zake! Na hilo Ni Neno La Leo.
majiiiidi........masha hana chake waanza kumponda.....Na Maggid Mjengwa,
Ndio, hana tofauti sana na Mswahili anayehama kutoka Mwananyamala kwenda Magomeni. Mswahili wa
Mwananyamala, hata kama atahakikishiswa, kuwa anakohamia Magomeni vyumba
vyote vina taa za balbu na pazia za madirishani na milangoni, bado,
Mswahili huyu atahakikisha, kabla ya kuhama, anang'oa balbu na pazia

Ndoto za jirani mzungu. Hivi ni kweli huo unaousema ni uzungu?
Dogo, FYI, nimeondoka bongo tangu enzi za Mwalimu. Nimekaa na wazungu na kuzaa nao hadi wajukuu. Sasa wewe shauri yako. Endelea na njozi zako. Utafika tu!Hahahahahahahaha , sikujua kuishi jirani na Mzungu kwako ni ndoto ,kumbe mko wengi, kama nakuona vile ulivyo mshangilia mzungu wa Bongo Stars search maana kwako wazungu ni adimu.
Mzungu kwangu mtu wa kawaida , babu yangu mzaa mama ni mzungu,nimeishi na wazungu unao waona dili toka na zaliwa, majirani wazungu wengi tuu tuko nao. sioni sababu ya kusingizia kuishi jrani na mzungu.
Tusidanganyane ungekua umekaa na wazungu usinge shangaa mimi kusema Jirani mzungu, ungeona kitu ch akawaida, halfu kumbemtu mzima na mna hiyo dah!Dogo, FYI, nimeondoka bongo tangu enzi za Mwalimu. Nimekaa na wazungu na kuzaa nao hadi wajukuu. Sasa wewe shauri yako. Endelea na njozi zako. Utafika tu!
alinunua na pesa zake au?