Maggid amchana Lau Masha live.....

Hasira ya kushindwa jamani. Hatuwezi jua ndiyo tabia yake, hapo hatujui. nyumba zinafiicha mambo mengi sana.
 
Mtoto wa Kishua, you have got an inferiority complex. Even your name proves it. I 'll stop answering your gibberish rubbish as I don't have more time to waste with you. Stay with your muzungu neighbour and enjoy yourself!

Hahahahahaha inferiority complex my behind! ,poor u , Ok, i will stay with my Mzungu neigbour and u stay with ur kuoa mzungu fantacy ......
 
Watu wengine hata kama wana pesa lakini wana roho za kimaskini na wamejawa na tamaa na anataka vyote viwe vyake yaani apate yeye tu.

Kanunua vitasa toka Italy na alisave pesa nyingi ili awe na office nzuri na vifaa vya gharama, sio mbaya kama akiamua kuondoka na alivyo nunua kwa pesa yake maana ataweza vitumia kuviweka sehemu nyingine. jama huo ni Uzungu!
 
Kuna baadhi yetu huwa tunaruka kufanya mambo wakati wa utoto na hayo mambo hujirudia ukubwani. Hicho ndicho kilichofanyika kwa Lau na Mbega. Ingekuwa ni uafrika basi ingekuwa kwa majimbo yote ambayo wabunge wamepoteza
 
jamani acheni kumzulia lau mambo mengi si mnajua baada ya kushindwa aliiacha ofisi ikabaki na wasaidizi wake ...wasaidizi ndio waliochukua vitasa na mapazia wana jf tusifike kuzua mpaka yasiyo na kichwa kwani huyu mtu amepata posho nyingi wizara ya kwenu ya ndani
 
Angetoa ufafanuzi basi kupitia vyombo vya habari na kukanusha tuhuma hizi kuwa wasaidizi wake ndio waliong'oa hadi vitasa na kwa ruhusa ya nani?. Kukaa kimya na kuingia mitini ina maanisha kachukua hivo vitu. Silence means Yes au sio??
 
ni ngumu kwani amechoka na matokeo yalivyokuwa ata wewe ingekuwa hivyo hivyo..........masha ni heri angerudi kuchukua nafasi yake kuliko huyu mpemba anayeua watu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom