Magesa Mulongo unamuongeleaje?

Kwa wale mnaomfaham naomba tumuongelee tabia zake coz nasikia ndiye aliyeanzisha ugomv na RAS ila akapeleka umbea Ikulu na jamaa akafukuzwa
Mimi binafsi sina habari za RAS na Magesa Mulongo kwa hiyo siwezi kujibu hoja yako. Ila huyu mkuu wa mkoa wa Mwanza ambaye alihamishwa toka Arusha ni mtu mwenye kujisikia na kuona yeye ni yeye tu dunia hii.
 
Huyu mkuu wa mkoa Mwanza ni shida anajiskia sana. Aliwahi kataa nyumba ya serikari na kuishi Hotelini. Baadae baada ya kusemwa akaamua kupannga.
 
mtu anaejisikia,mtu WA visa na visasi,anaeongoza kwa fitina,majungu na unafiki,Ana dhana ya kufikiri uongozi Ni WA kwake daima hakuna mwingine,fataki WA wanafunzi,uongozi wake hauna viwango Ni mtu WA kubebwa.
 
Alipokuwa AR alikuwqa na mambo ya kibabe, kujisikia, kutaka kuabudiwa hata polisi hawakumpenda kwani alikuwa anawatumia vibaya hadi wao walimchoka! amimnyanyasa sana Kamanda Lema wa CDM lkn mwishowe alinyoosha mikono! Nampongeza sana huyu RAS aliyekataa kuburuzwa na huyu mtu! BORA KUFA UKIWA UMESIMAMA KULIKO KUISHI UKIWA UMEPIGA MAGOTI.
 
Baada ya Mulongo Magesa kuondolewa Arusha, vurugu, migomo na maandamano yameisha Arusha yameamia Mwanza.
 
..akiongea anajilamba kamba midomo kama bongo movie.!!
 
1.Kuna wakati alitajwa kutembea na eskoti ya mabodigadi.
2. Alikataa kuishi nyumba ya mkuu wa mkoa ambayo kabla aliishi mtanguliz wake injinia ndikilo.
3. Alivokuwa AR maandamano yalikuwa hayaishi
 
Hongera sana faisal issa kwa kuwaonyesha wanasiasa kuwa baadhi yao hawana akili rudi zako univeristy yeyote kafubdishe management kama ilivo taaluma yako. Mulongo na elimu yake ya kuunga aendelee kubebwa na kuabudiwa na wakuda wenzake
 
Kiongozi anayesimamia sheria siku zote huwa hapendwi na hana marafiki wengi.

MTU ambaye hasimamii sheria huwa na marafiki wengi sana kwa hiyo MTU Wa aina hiyo hafai kabisa kuwa viongozi(Lowasa)

Ndio maana wanyonge tukachagua Magufuli.

Marafiki na matajiri wakachagua lowasa
 
Kiongozi wa hovyo ambae hajapata kutokea Tanzania, alisababisha usumbufu mkubwa sana Arusha kwa kulazimisha meya ambae hakukidhi akidi mpaka yakatokea maandamano na mauaji, huyu jamaa ni limbukeni wa ku...m sana aliwahi kumkodishia hawara nyumba ya garama ya juu amabayo hata yeye na familia yake hawajwahi kuishi akampa na bastola ya kujilinda, ni mla rushwa alie kubuhu aliwahi kuchukua rushwa ya milioni 200 kwa mkandarasi wa ujenzi wa barabara kwa kumtishia kumnyag'anya contract kwa kuchelewesha ujenzi, akikutana na mtu makini anaejua wajibu wako huishia kuchekacheka na kujilamba midomo, Lema ndie kiboko yake, jamaa anafanya kazi bila dira anafanya kazi amfurahishe aliempa kazi. Ni BWEGE TU.
 
Wapinzani hasa Chadema wamekua wakisema nafasi za ukuu wa mikoa na wilaya hazina maana; kupitia huyu jamaa nilikubaliana nao, they way alivyokua anaiongoza Arusha na sasa Mwanza nimejiridhisha pasipo shaka yoyote kua nafasi za ukuu wa mikoa hazina maana yoyote.
 
Kiongozi anayesimamia sheria siku zote huwa hapendwi na hana marafiki wengi.

MTU ambaye hasimamii sheria huwa na marafiki wengi sana kwa hiyo MTU Wa aina hiyo hafai kabisa kuwa viongozi(Lowasa)

Ndio maana wanyonge tukachagua Magufuli.

Marafiki na matajiri wakachagua lowasa

Niliamini kuwa RC huyu ana matatizo,siku nilipokuwa niko ferry ya Kigongo! Tulikaa pale zaidi ya masaa mawili tukisubiri,tulipo uliza wahusika tukaambiwa RC anatokea upande wa Sengerema ameagiza akikute kivuko hapo!Kwahiyo kivuko kilipoteza muda na kutoingiza mapato kwa muda wa kutosha kabisa! Alipofika akiwa na ndani ya yale magari yao ya kifahari akifurahia kipupwe ndani yake,wasafairi wakamsusia bila aibu aliingia na magari matatu kama si manne yaliyokuwa kwenye msafara wa bwana mkubwa huyo na kuvuka!Katika hali ya namna hiyo ,wewe ungekuwa ndiyo Faisal ungemwacha tu? Kwasababu hata wasafiri waliokuwepo pale hawa kumwacha apite kimyakimya,yeye anajua kilicho mpata!
 
Vyeo vya ukuu wa wilaya na mikoa ni vya kufutwa kabisa havina tija, Magufuli bana matumizi wabaki RAS na Wakurugenzi
 
Ut
Kiongozi anayesimamia sheria siku zote huwa hapendwi na hana marafiki wengi.

MTU ambaye hasimamii sheria huwa na marafiki wengi sana kwa hiyo MTU Wa aina hiyo hafai kabisa kuwa viongozi(Lowasa)

Ndio maana wanyonge tukachagua Magufuli.

Marafiki na matajiri wakachagua lowasa
Na utabaki masikini milele yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom