Magesa Mulongo unamuongeleaje?

Magesa Mulongo unamuongeleaje?

Limbukeni mmoja ambae alikuwa kibaraka wa familia ya JK akiwa bagamoyo akajipendekeza sana kwa familia pale hadi wakamuombea apande awe RC! Yeye pamoja na Fatuma Mwasa (Wama) ndio watoto wa familia kuhakikisha familia haina shida! Alikuwa antoa hadi pesa zake kwa vijana wakale bata....ili feedback nzuri ifike kwa JK. Hana weledi wowote zaidi kujipendekeza! Hana Fikra wala busara.....namjua vizuri sana
House boy wa JK na alikuwa anafanya kazi zote za ndani mpaka za house girl
 
Elimu ya Muheshimiwa Magesa Mlongo. Mwenye nayo samahani
 
Back
Top Bottom