hakuna wa kujibu hilo swali hapa.... kifupi, hakuna anaejua.Kwanini alitumbuliwa?
hakuna wa kujibu hilo swali hapa.... kifupi, hakuna anaejua.Kwanini alitumbuliwa?
Mkuu sio laana ni maombi yake na wananchi wake, ukimtumaini Mungu huta aibika milele, nakumbuka kuna askari mjoa aliletwa Arusha akwa anajitapa kuwa ameletwa kummaliza Lema na hii kwake ni kazi ndogo sana, siku moja akiwa kwenye mgahawa unaoitwa fifi mh. Lema alimuona akamfuata na kumsalimia na kumwambia kwa nini anajitapa amekuja kumaliza kwana wana ugomvi gani, akajichekesha tu kama hajielewi, looo baada ya muda mfupi tu yule askari akapatwa na ugonjwa wa kupooza akawa hajiwezi kabisa, na sasa ni marehemu tayari. Ukiwa huna ubaya na mtu akufanyiae ubaya mabaya humrudia mwenyewe.Mungu nimwema sana.Ila Godbless lema ana laana Kali sana,Ccm wasimchezee,hata naibu spika aangalie asije kupata laana ya umma akaondolewa kwenye nafasi yake
Alitaka wamuite YEGO JAJI au YEGO CHIKAKA kwenye kabila lao ni cheo kikubwa sanaJamaa alikuwa anajiona bonge la kiongozi, hata ongea yake tu
Sala za yule katibu tawala wa mkoa aliyemfukuzisha Kazi zimejibu,huyo
yego masika, yego chitamba!!Alitaka wamuite YEGO JAJI au YEGO CHIKAKA kwenye kabila lao ni cheo kikubwa sana
Hapo atatabasamu haswa na kuagiza upewe biayego masika, yego chitamba!!
Je first degree ana GPA angalau ya 3.5? Je, first degree alisoma masomo ambayo hivyo vyuo ni priority? Ni rahisi kusema lakini si rahisi kihivyo. Ukumbuke akiajiriwa Chuo chochote atakuwa assistant lecturer. Hicho cheo na ukuu wa mkoa wapi na wapi? Jenga hoja nyingineHuyo hana shida yeyote ana masters degree ataenda fundisha saut ama jk nyerere university butihama na maisha yatakuwa super tu
Sasa hivi ajiandae kuwa mvuvi wa sato na sangaraAlitaka wamuite YEGO JAJI au YEGO CHIKAKA kwenye kabila lao ni cheo kikubwa sana
Doooooooh sasa tumeanza kuyajua mengiAliwahi kuwa mpishi huko Bagamoyo
Wakati yupo musoma alishaanza kuchongesha mitumbwi na kununua nyavu za kuvulia dagaaHuyu jamaa atasahaulika kabisa kabisa kisiasa aisee.
Kwa siasa za upepo zilivyo mbovu, upepo ushamgeuka.
Ajipange atafute ishu nyingine.
Sasa ndiyo anaonja machunguKaua sana vijana Arusha bila sababu za msingi
Sasa hivi ajiandae kuwa mvuvi wa sato na sangara
Ni kweli kabisa mkuu, mungu daima uwa anajibu kilio cha wanyongeSasa alikuwa ameanza kuwa mweupe akiingia kwenye uvuvi rangi yake ya Asili ya mwili itarudi,atakuwa mweusi tiii kwa kuwa itabidi akae juani.
Alifikiri kumchakachua wenje kungemlipa cheo kizuri
Nani aliyekandamizwa....amekandamiziwa wapiIla mnaofanya kazi za serikali kwa kuwakandamiza watu wengine kuwa kumbukeni mtarudi kwenye jamiii hiyohiyo baada ya kuachishwa ghafla au kustaafu