Magesa Mulongo aihirisha kikao cha hadhara na wananchi wa Musoma

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Mar 11, 2016
2,633
2,297
Kikao kilichokuwa kimepangwa na mkuu wa mkoa wa mara, mh Magesa mulongo kimehairishwa. Hatujapata sababu rasmi za kuahirisha kikao. Nitawapa taarifa mara tu kitakapotajwa tena. Yawezekana Mheshimiwa amejipa assignment ya kuja na paper work nzuri ya kutatua matatizo ya wana mara.
 
Hana jipya huyo katolewa kwenye majiji, Arusha, Mwanza kapelekwa kwenye mji sasa akitoka hapo tukutane Ukerewe.
 
Mulongo mambo yako ya mwanza usiyapeleke Musoma , ni vema ukashauriana kwanza na steven Masatu .
 
Kikao kilichokuwa kimepangwa na mkuu wa mkoa wa mara, mh Magesa mulongo kimehairishwa. Hatujapata sababu rasmi za kuahirisha kikao. Nitawapa taarifa mara tu kitakapotajwa tena. Yawezekana Mheshimiwa amejipa assignment ya kuja na paper work nzuri ya kutatua matatizo ya wana mara.
Sasa umekurupukaje kuja hapa wakati hujui lolote? Povu hadi masikioni,pata habari kamilhp ndo uje.
 
...ajiandae kustaafu sasa! Wamemtoa majiji makubwa amerudishwa Mara...akapambane wa wajuaji wenzake ili ajitumbue mwenyewe!!time will tell
 
Nadhani sababu ni kukosa muitikio wa wananchi..maana amereport leo na leo hii hii ameitisha mkutano ilihali wananchi wengi hawakuwa na taarifa. Apange siku nzuri hasa za weekend na afanye matangazo ya kutosha. Changamoto ni nyingi kama kipindupindu
 
Mkoa wa kibabe huo!, Kila mtu ni kamanda huko. Sasa unapoenda kwa makamanda lazima uwe vizuri usije ukashikwa kalio
 
Watu wanakatana mapanga kila siku kugombea viwanja. Wanagombania viwanja na wawekezaji. Mabwepande walivamia kiwanja cha Sumaye wakatimuliwa. Sasa hivi wanataka kumdhulumu Lowassa. And yet Mkuu wa Mkoa anaongea kama vile wananchi hawataki kulima.
 
Back
Top Bottom