Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,266
Huo ndio ujinga walionao watu wengi wasiojiamini na waliokosa ubunifu.Kwani kuwa na maisha Mazuri lazima uajiliwe serikalini....

Magesa Mulongo,aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mara ametokea mbali. Kabla ya kupelekwa Mara, Mulongo alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na hata Mwanza.
Kihistoria,Magesa Mulongo ametokea chini hasa kusikojulikana kama akina Waziri Simbachawene na Waziri Lukuvi. Ukada ukambeba. Ukampa vyeo. Ukampandisha hapa hadi pale. Sasa,ukada unamshusha.
Kwa kutenguliwa ukuu wake wa mkoa,Mulongo namfananisha na mpandamti upindao. Mti upindao,ukipandwa hupinda na kukurejesha chini tena kwa kasi isiyo hasi wala nafasi.
Hatahivyo,kote alikopita Magesa Mulongo alikuwa akisifiwa na kulalamikiwa. Kutenguliwa kwake,kwahiyo kutahuzunisha na kufurahisha. Ndiyo maisha ya siasa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)

..inategemea mti wenyewe unaopanda,kama mnene haupindi,....Magesa Mulongo,aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mara ametokea mbali. Kabla ya kupelekwa Mara, Mulongo alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na hata Mwanza.
Kihistoria,Magesa Mulongo ametokea chini hasa kusikojulikana kama akina Waziri Simbachawene na Waziri Lukuvi. Ukada ukambeba. Ukampa vyeo. Ukampandisha hapa hadi pale. Sasa,ukada unamshusha.
Kwa kutenguliwa ukuu wake wa mkoa,Mulongo namfananisha na mpandamti upindao. Mti upindao,ukipandwa hupinda na kukurejesha chini tena kwa kasi isiyo hasi wala nafasi.
Hatahivyo,kote alikopita Magesa Mulongo alikuwa akisifiwa na kulalamikiwa. Kutenguliwa kwake,kwahiyo kutahuzunisha na kufurahisha. Ndiyo maisha ya siasa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Attention: Daudi Albert Bashite, Ali Happiness, Mrisho Gambo, Ole Sabaya, Jerry MuroMagesa Mulongo,aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mara ametokea mbali. Kabla ya kupelekwa Mara, Mulongo alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na hata Mwanza.