Magesa Mulongo na mti upindao

Magesa Mulongo na mti upindao

Hakuwa mbaya kihivo lakini, jambo la wizi ni lingine
 
Magesa Mulongo,aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mara ametokea mbali. Kabla ya kupelekwa Mara, Mulongo alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na hata Mwanza.

Kihistoria,Magesa Mulongo ametokea chini hasa kusikojulikana kama akina Waziri Simbachawene na Waziri Lukuvi. Ukada ukambeba. Ukampa vyeo. Ukampandisha hapa hadi pale. Sasa,ukada unamshusha.

Kwa kutenguliwa ukuu wake wa mkoa,Mulongo namfananisha na mpandamti upindao. Mti upindao,ukipandwa hupinda na kukurejesha chini tena kwa kasi isiyo hasi wala nafasi.

Hatahivyo,kote alikopita Magesa Mulongo alikuwa akisifiwa na kulalamikiwa. Kutenguliwa kwake,kwahiyo kutahuzunisha na kufurahisha. Ndiyo maisha ya siasa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)

tangu november mwaka jani bwana mkubwa hakuwah fanya chocho cha kunifurahisha,lakini kwa ili la Mulongo amenikuna sawasawa maana mulongo alojisahau na kujiona kuwa yeye ndo dume kuliko madume yote
pole mulongo pole sana na uogeta kwa kutumbuliwa
 
Ila mnaofanya kazi za serikali kwa kuwakandamiza watu wengine kuwa kumbukeni mtarudi kwenye jamiii hiyohiyo baada ya kuachishwa ghafla au kustaafu
Kwani kuwa na maisha Mazuri lazima uajiliwe serikalini....
 
Magesa Mulongo,aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mara ametokea mbali. Kabla ya kupelekwa Mara, Mulongo alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na hata Mwanza.

Kihistoria,Magesa Mulongo ametokea chini hasa kusikojulikana kama akina Waziri Simbachawene na Waziri Lukuvi. Ukada ukambeba. Ukampa vyeo. Ukampandisha hapa hadi pale. Sasa,ukada unamshusha.

Kwa kutenguliwa ukuu wake wa mkoa,Mulongo namfananisha na mpandamti upindao. Mti upindao,ukipandwa hupinda na kukurejesha chini tena kwa kasi isiyo hasi wala nafasi.

Hatahivyo,kote alikopita Magesa Mulongo alikuwa akisifiwa na kulalamikiwa. Kutenguliwa kwake,kwahiyo kutahuzunisha na kufurahisha. Ndiyo maisha ya siasa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Mulugo hatokaa amsahau mh lema
 
Jamaa alikuwa anajiona bonge la kiongozi, hata ongea yake tu
 
Tatizo la Mulongo ni makuzi yake,nakumbuka kipindi yuko Arusha nyumba ndogo yake iliegesha gari CRDB tawi la TRA sehemu isiyotakiwa hata wanausalama walipomwamuru apeleke gari sehemu nyingine bado alikaidi kisa ni yuko na Mkuu wa Mkoa mwenye dharau,majivuno mengi yasiyo na kichwa wala miguu.Askari walitoa upepo gari la nyumba ndogo lakini kwakuwa ilikuwa na uhusiano na Magesa mambo yakamalizwa taratibu.
 
Mulongo amepata alicho stahili
 
Magesa Mulongo,aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mara ametokea mbali. Kabla ya kupelekwa Mara, Mulongo alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na hata Mwanza.

Kihistoria,Magesa Mulongo ametokea chini hasa kusikojulikana kama akina Waziri Simbachawene na Waziri Lukuvi. Ukada ukambeba. Ukampa vyeo. Ukampandisha hapa hadi pale. Sasa,ukada unamshusha.

Kwa kutenguliwa ukuu wake wa mkoa,Mulongo namfananisha na mpandamti upindao. Mti upindao,ukipandwa hupinda na kukurejesha chini tena kwa kasi isiyo hasi wala nafasi.

Hatahivyo,kote alikopita Magesa Mulongo alikuwa akisifiwa na kulalamikiwa. Kutenguliwa kwake,kwahiyo kutahuzunisha na kufurahisha. Ndiyo maisha ya siasa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Huyu si Ndo aligombana na RAS wake ?
 
Alimsimamisha Kazi mkurugenzi wa halmashauri ya butiama bwana maganga,matokeo yake rais magufuli kampa ukuu wa Wilaya huyo mkurugenzi na hata katibu tawala wa mkoa nasikia yuko ofisi ya rais tamisemi,alirudishwa kazini

#huu mchezo hautaki hasira
 
Ana vidato lakini? Nina wasi wasi na upstairs tangu aliposema wakerewe ni washamba sana
Hahahaa. Tena siku hiyo mzee wangu alikupo. Alirudi nyumbani anasonya tu. Nikamuuliza Mzee vipi? hataki kujibu. Hasira zilipokwisha ndo akaanza kutoa story jinsi Magesa Mulongo alivyowadharirisha kwenye mkutano. Watu hawana hamu naye
 
Ila Godbless lema ana laana Kali sana,Ccm wasimchezee,hata naibu spika aangalie asije kupata laana ya umma akaondolewa kwenye nafasi yake
 
Dharau na kujikweza siki zote lazima uwe na mwisho wa aibu, huyu jamaa alijinasibu sana mikoani kuwa yeye ndio yeye wengine wote ni mweye, alisababisha jeshi la polisi Arusha likawa na uhusiano mbaya sana na wapinzani mpaka kusababisha vifo vya watu wasio na hatia. Huyu jamaa aliamuru maaskari wavamie nyumba ya Lema usiku wa manane bila taarifa kuwa wanamtafuta Lema wala k nini nia yake ilikuwa wamtandike MH.

Lema risasi ili waseme alikataa kutii amri ya polisi na kupambana na jeshi la polisi, ila MUNGU ni mwema sana Mh. alivuka huu mtego kwa kupiga simu mapema kwa ndugu jamaa na wananchi wa Arusha wakawahi nyumbani kwake usiku ule ule na ndipo akatoka ndani ya nyumba wakashindwa kummaliza, walipo mfikisha kituoni hakukuwa na hoja za msingi zaidi ya kusema ni maagizo kutoka kwa mkuu wa mkoa kwa kuwa eti amemfanyia dharau kwa kumshushua mbele ya wanachuo wa uhasibu walipokuwa na mgogoro. Acha akae benchi akili inaweza kurudi.
 
Back
Top Bottom