Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,138
KIGONGONI BAGAMOYO
Laiti mm ningekuwa rais yule jamaa aliyemtoboa macho mwenzake ningeamuru anyongwe pale jangwani tena mchana kweupe bila pazia kila mwananchi ajionee
HII INANCHANGANYA MPAKA LEO DADANGU.Ila scorpion noma eti mkiwa wengi ndio anafurahi
Malya liko wilaya ya kwimba mkoa wa MwanzaApelekwe gereza la Malya mkoa wa shinyanga, ndio gereza la Tatu kwa ukubwa Tanzania na linapokea wahalifu walioshindikana
Unajua nilipo?Mbona mlishindwa kumuadhibu kipindi yupo uraiani?
Hlo KALILANKULUNKULU lipo mkoa wa kataviScorpion anapaswa kupelekwa gereza la kulilankulunkulu huko lindi,hili ni gereza lenye mateso mengi,mashamba makubwa ya kulima na chakula kidogo,huyu mbuzi anapaswa aende huko.
Ndio maana si Raisi
Big up yule mama gea duhLaiti mm ningekuwa rais yule jamaa aliyemtoboa macho mwenzake ningeamuru anyongwe pale jangwani tena mchana kweupe bila pazia kila mwananchi ajionee
Tupe basi maana nina wasiwasi na hili jambo sielewi kwann alikuwa kimya muda wote sielewi ilikuwajekuwajeUngekuwa na taarifa za kutosha nadhani usinge ongea hivyo!.
Ni mpakani Mwanza na Shinyanga, kwa sasa SimiyuMalya liko wilaya ya kwimba mkoa wa Mwanza