Mkuu hata me inanishangaza sana kuhusu huyu mtu, hata makosa aliyoshitakiwa nasikia ni unyang'anyi wa kutumia silaha, wala hakuna shitaka la kudhuru mwili, kujaribu kuua na kumsababishia kijana wa watu upofu wa kudumu... Na.... Na... Daah, inasikitisha kwakweli.Yaani kila nilifikiria dar ukisikia mwizi,ujue kashakufa hachukui round!
Ss huyu mtu eti anaangaliw,anaogopwa?
Bado sielewi,sio bure
Mbona adhabu mdogo sana hiyo...huyo anatakiwa kuwa hanged by dogs...wanachukuliwa German shepherd 30 wanakuwa starved for 3 days kwenye chumba maalumu halafu huyo shetani anatupiwa ndani huko...kamfamyia mwenzie kitu cha kinyama sanaLaiti mm ningekuwa rais yule jamaa aliyemtoboa macho mwenzake ningeamuru anyongwe pale jangwani tena mchana kweupe bila pazia kila mwananchi ajionee
Ungekuwa na taarifa za kutosha nadhani usinge ongea hivyo!.Laiti mm ningekuwa rais yule jamaa aliyemtoboa macho mwenzake ningeamuru anyongwe pale jangwani tena mchana kweupe bila pazia kila mwananchi ajionee
Kwani mkuu unanijuaWanaume wa dar hamna kitu
kitendo alichofanya ni cha kinyama, bali sio kweli kwamba sisi sote tunaojishaua humu ndani ni wasafi, wengine wetu tumeshawahi kufanya unyama mkubwa kuliko huo tofauti ni kwamba haukuwa publicised hivyo tunajiona wema sana. I am not good person simply because somebody else sins differently than I do! Adhabu zinazotolewa na sheria zitafaa kabisa maana zilitafakariwa kabla ya kupitishwa kuwa sheria sio kwa mihemuko ya kibinadamu kama hii.Mbona adhabu mdogo sana hiyo...huyo anatakiwa kuwa hanged by dogs...wanachukuliwa German shepherd 30 wanakuwa starved for 3 days kwenye chumba maalumu halafu huyo shetani anatupiwa ndani huko...kamfamyia mwenzie kitu cha kinyama sana
Wewe mwenye taarifa za kutosha ziweke hapa tuzione.Ungekuwa na taarifa za kutosha nadhani usinge ongea hivyo!.