retweeted
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,339
- 920
Kweli mkuu watuachie kumpe hukumu mana huko atakuwa yupo sehemu salama sanaKama atafungwa miaka mingi bado ni hasara kwetu maana hatokua anatoka nje kwenda kulima au kupasua mawe atakuwa anacheza mpira tu ndani. Mimi napendekeza watuachie tu huku kitaani tutajua cha kumfanya nadhani tutatoa adhabu inayoendana naye.