Magereza ambayo Scorpion mtoboa macho anafaa apelekwe

Magereza ambayo Scorpion mtoboa macho anafaa apelekwe

Scorpion anapaswa kupelekwa gereza la kulilankulunkulu huko lindi,hili ni gereza lenye mateso mengi,mashamba makubwa ya kulima na chakula kidogo,huyu mbuzi anapaswa aende huko.
Gereza lililopo Lindi no KINGURUNGUNDWA na si kama ulivyoandika ww
 
huyo hakuna cha kumfunga....adhabu yeyote haitamfaa kama akiendelea kubaki na macho.....inatakiwa atolewe macho tuu af arudishwe kitaa
 
Kuna lile gereza la Panama lilikuwa linamfaa sana kama lipo nchini.
 
Watu wana mategemeo ya selikari kupata conviction juu ya scorpion.....ngoja washindwe kithibitisha aje aha'aquite.....povu litasambaa sana.... haya mambo ya kesi upande wa mashtaka yawapasa wathibitishe sana pasina kuacha shaka.....na upelelezi wenyewe huu wa kuhunga unga na makachero wetu wa polisi......ngoja tuone....
 
Scorpion anapaswa kupelekwa gereza la kulilankulunkulu huko lindi,hili ni gereza lenye mateso mengi,mashamba makubwa ya kulima na chakula kidogo,huyu mbuzi anapaswa aende huko.
Kingurungundu mkuu ndo linavyoitwa
 
Mtoa mada hilo gereza ulilolitaja la lukaranga kilimanjaro (kiusahihi Karanga-Moshi) halimfai huyo scorpion maana lipo kama hoteli ya kitalii
 
Habar wadau,
Nimetafakari kwa ukatili wa scorpion mtoboa macho aliokuwa nao napendekeza hukumu ikitoka huyu muuwaji nashauri apelekwe kwenye magereza yafuatayo:-

1.KITENGULE-KAGERA
2.ISANGA-DODOMA
3.RUKARANGA-KILIMANJARO
4.BUTIMBA-MWANZA
5.MAWENI-TANGA

NAWE MDAU ONGEZEA GEREZA LINALOMSTAHILI HUYU KATILI MTOA MACHO MUUWAJI.
NAWASILISHA
Tupe sababu ya pendekezo lako
 
Apelekwe kitengule,anakuwa anashinda na pingu za miguu ,asubuhi akikamata nngwe anapata lunch km 10mbele
 
Kwani ile video ikionyeshwa kapigwa na kujeruhiwa mikono na miguu ilikuwa ya ni ya uongo!!!?
 
Habar wadau,
Nimetafakari kwa ukatili wa scorpion mtoboa macho aliokuwa nao napendekeza hukumu ikitoka huyu muuwaji nashauri apelekwe kwenye magereza yafuatayo:-

1.KITENGULE-KAGERA
2.ISANGA-DODOMA
3.RUKARANGA-KILIMANJARO
4.BUTIMBA-MWANZA
5.MAWENI-TANGA

NAWE MDAU ONGEZEA GEREZA LINALOMSTAHILI HUYU KATILI MTOA MACHO MUUWAJI.
NAWASILISHA
Mreteni uko tarime tata, kitaa cha shauri yako tumpime ubabe. Akipumua nusu saa basi namlala mama yangu wallahi!!
 
Jitetee kwa lingine Lakini sio kuhalalisha uovu kisa kuna uovu ambao haujachukuliwa hatua.




[emoji817]
Sina la kujitetea na wala nilikuwa sijitetei na sina haja ya kujitetea katika hoja isiyohitaji utetezi wa kutetewa.

Huwezi kuongoza nchi kwa kulipiza visasi na kukurupuka. Tunataka utawala wa sheria. Hata huyu Scorpion naye sheria iachwe ichukue mkondo wake. UTAWALA WA SHERIAAAAA!!!
 
Kama atafungwa miaka mingi bado ni hasara kwetu maana hatokua anatoka nje kwenda kulima au kupasua mawe atakuwa anacheza mpira tu ndani. Mimi napendekeza watuachie tu huku kitaani tutajua cha kumfanya nadhani tutatoa adhabu inayoendana naye.


Akitushinda? Buguruni sio ndogo wote walikaa hadi wamesemelea kuomba msaada !!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: y-n

Similar Discussions

Back
Top Bottom