Tena kitu chenye ncha kali!Mtoa mada naona unahamu ya kukalia kitu, sio bure!
Acha kumfananusha mbuzi na vitu vya kijinga wewe!!Scorpion anapaswa kupelekwa gereza la kulilankulunkulu huko lindi,hili ni gereza lenye mateso mengi,mashamba makubwa ya kulima na chakula kidogo,huyu mbuzi anapaswa aende huko.
Jitetee kwa lingine Lakini sio kuhalalisha uovu kisa kuna uovu ambao haujachukuliwa hatua.Sheria zinasemaje? Tunataka utawala wa sheria na siyo kukurupuka na kulipiza visasi. Mafisadi wameua watu wangapi kwa kuiba mamilioni ambayo yangetumika kununulia madawa ambayo yangeokoa maelfu ya watu masikini? Mbona haya majizi hatujasema yanyongwe?
Kwa mawazo haya nakuombea kamwe usiwe rais wala mtu mwenye dhamana juu ya maisha ya wengine. Hufai!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikosea kutype mkuu, sio mbwa 30 ni mbwa 300.
Me nadhani wewe ndio haujui sharia Rais ana uwezo wa kuibatilisha hukumu ya mahakama na kumuweka mshtakiwa huru bila kuingiliwa na mhimili wowote na vilevile anao uwezo wa kuamuru mtu fulani ahukumiwe hukumu yeyote bila kupitia mchakato wowote wa kimahakama.M
Mahakama ndo chombo cha kutoa haki kwa mjibu katiba yetu, raisi angeamuru vp wakati hasikilizi kesi? Au siku hizi ndo kazi ya raisi kufanya kila kitu? Raisi anayo nafasi ya kusaini kunyongwa kama mahakama imempata na hatia na ikamhukumu kifo,
Kutokujua ni tatizo sana.
Jicho kwa jicho. Mkono kwa mkono.Mi ningeamuru atolewe macho aone upofu
Hahah mambo ya sigida na fire break mixer kuzima motoApelekwe Gereza la ISUPILO Iringa vijijini
Wengine hiyo ndio raha yao unaweza kudhani ni mateso kumbe ndio umetii kiu yake.Mpaka sasa kama 0713 ya Scorpion ni nzima askari magereza watakuwa wametuangusha sana.
Yule jamaa natamani afanywe kitu mbaya sana...sio kwa machozi niliyolia kwa alichomfanyia mwenzie.
Kuna haja kujiuliza kidogo, Toka atuhumiwe kutenda kosa hilo lililo tugusa walio wengi amekuwepo eneo la tukio muda wote huku baadhi ya mamlaka zikijua na zikimjua mtuhumiwa hadi taarifa zilipo anza kuzagaa mitandaoni hadi hapo mtuhumiwa alipo enda mwenyewe kituo cha polisi na kuzuiliwa huko na hatimaye kufikishwa Mahakamani, hongera Mh Makonda na watu Clouds . Lakini pia inawezekanaje mtu hatari mwenye sifa kama hizo tulizo sikia tuishi naye mtaani bila mamlaka ku detect uhalifu wake huo uliopitiza wakati kuanzia asubuhi, mchana hadi usiku anakuwepo eneo hilo hilo la tukio na jeshi letu la polisi gari lao la patrol kila siku lina kuwepo eneo hilo hilo kuanzia mida hiyo hiyo ya muda wa tukio?. Mimi nadhani kwa kuwa tunahitaji kukomesha matendo kama hayo ndani ya jamiii yetu tuendelee kujifunza juu ya tukio hilo huenda tukajua mengi zaidi ya haya tuliyo yasikia na tukayapatia ufumbuzi wa kudumu, hebu tusogee Buguruni eneo la tukio tuendelee kujifunza!.Tupe basi maana nina wasiwasi na hili jambo sielewi kwann alikuwa kimya muda wote sielewi ilikuwajekuwaje
Kihabakari au Serengeti kule MaraHabar wadau,
Nimetafakari kwa ukatili wa scorpion mtoboa macho aliokuwa nao napendekeza hukumu ikitoka huyu muuwaji nashauri apelekwe kwenye magereza yafuatayo:-
1.KITENGULE-KAGERA
2.ISANGA-DODOMA
3.RUKARANGA-KILIMANJARO
4.BUTIMBA-MWANZA
5.MAWENI-TANGA
NAWE MDAU ONGEZEA GEREZA LINALOMSTAHILI HUYU KATILI MTOA MACHO MUUWAJI.
NAWASILISHA
Iramba nayoijua?[emoji3] [emoji3]Wanaume wa Dar Mnatuaibisha Wanaume wa Mikoani!Huyo Scorpion a.k.a Ilikuwa Sio wa Kumpeleka Jela!Huyo Angekuwa Uku Iramba Tungesha Mtoleo Posa na Kumuoa!Angeosha Vyombo,Kufua Nguo na Kulea Watoto!
Haha hahaIramba nayoijua?[emoji3] [emoji3]