Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,820
- 113,384
[emoji23]ni dushe tu umeona [emoji28][emoji23][emoji23]Hivyo walivyovaa wannaume wanachongewa kutokana na ukubwa wa dushe?[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]ni dushe tu umeona [emoji28][emoji23][emoji23]Hivyo walivyovaa wannaume wanachongewa kutokana na ukubwa wa dushe?[emoji23]
yaahHivyo walivyovaa wannaume wanachongewa kutokana na ukubwa wa dushe?😂
wewe mbona upo uchi sasa
View attachment 1035063
😁sipati photo wenye tuba100 wanavyopata taabu😂yaah
Ila si inasemwa Mungu yupo mahali pote (sasa sijui hii pote mpaka kule kwa shetani), sasa huko kwingine iweje wavae kishetani?Si mbaya kuwa na magauni matatu ya heshima ambayo ni ya kanisani tu.
Hivi ili ni tatizo la binadamu au Mungu? Kwa kuwa Mungu yupo sehemu zote, je tunaoga na nguo kule bafuni? Je, nusu utupu sio ndio lile neno kuwa myakabili majaribu ili muweze kuirithi mbingu?Kama hii ndiyo moral wa society yenu hamna shida kwani mmeshaikubali. Lakini sisi hatuna ethics za kwenda kanisani nusu mptupu
Kwani unafanya ibada kule bafuni? Hata ukiwa chumbani peke yako huombi Mungu ukiwa na birth suitHivi ili ni tatizo la binadamu au Mungu? Kwa kuwa Mungu yupo sehemu zote, je tunaoga na nguo kule bafuni? Je, nusu utupu sio ndio lile neno kuwa myakabili majaribu ili muweze kuirithi mbingu?
sawa kabisa bidada, nyie wanawake mpo kama utitiri..[emoji41]Mate umesahau tumekuwa wengi kuliko me
Ni mpango wa kupokezana
Copy n paste inawatesa wengi
* nje ya mada kidogo msibani vipi mate huendi? Nasikia wengine wameenda watoke kwa social media wapate kiki uwiiiii WaTz nimenyoosha mikono juu..
[emoji860]asante kwa taarifa, wiki hii ntakuwa mgeni wenu hapo kanisani..[emoji16]Mimi niko Igumbilo hapa Iringa na ninasali usharika wa Igumbilo na wakati mwingine Kanisa Kuu Iringa mjini. Wadada wa huku wana ngozi inayozuia na kuhimili baridi za aina zote, wanapiga tuvazi tata hata kukiwa na baridi ya 4°C
Globalization(tukiwasifia mnavimba vichwa mno)Sio matatu tu dada,yawe yote ya heshima.
Mavazi pekee hayapimi ukristo wa Mtu lakini Ni moja miongoni mwa vipimo
Sisi ni barua,tuwe vielelezo ,mataifa waige mienendo yetu..upole wetu,heshima yetu,matendo yetu na tabia zetu zijulikane na watu
Sisi Ni Nuru ya ulimwengu,,sisi Ni taa...ukivaa hivyo mtu anaetarajia kuokoka atajifunza nini!???hakuna
Nini kitakachomuonyesha utofauti Kati yako na yeye??hakuna
Wakristo wa siku hizi tunavaa Kama watu tusiomjua Mungu, yaani Mtu anavaa Hadi unajiuliza hivi huyu hakujikagua kabla hajaondoka!! Mwingine anaanza kuhangaika kuvuta kinguo kipo huku juu ya magoti badala kukaa kwa utulivu kusikiliza ibada
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama Mungu anakuwepo pale unapofanya sala tu. Zaidi ya hapo, msisimuko na kuvaa vile wakati mwingine wanawake wanakuwa kwenye heat na neno linasema tuijaze dunia.Kwani unafanya ibada kule bafuni? Hata ukiwa chumbani peke yako huombi Mungu ukiwa na birth suit
argument yako inaonesha kuwa issue ni wanadamu na wala sio Mungu.Kwani unafanya ibada kule bafuni? Hata ukiwa chumbani peke yako huombi Mungu ukiwa na birth suit