Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,406
Wengi wenu mmjejaliwa uzuri, sasa kule kanisani mkifanya ndiyo sehemu ya maonyesho ya mavazi kwakweli mnatukwaza hasa sisi wenye ndoa.
Binti hata kupiga magoti anashindwa nguo imebana huku imepasuliwa huku. Hata kama unaumwa mr akisema ninakwenda kanisani inabidi ujikongoje umfuate.
Kheri huku kwetu Iringa kipindi cha baridi inabidi wastiri maungo. Ni kwa kujikinga na baridi tu.
Si mbaya kuwa na magauni matatu ya heshima ambayo ni ya kanisani tu.