Magazeti yaipa kisogo ndege ya Rais Magufuli

Magazeti yaipa kisogo ndege ya Rais Magufuli

Nimeipenda kiwandan imepewa registration 5h ccm ila ilivyokuja huku. Watu walianza mapovu kwamba wameamua kutangaza chama wakati kuna. Wapinzani tunapewa plate number hiz kwenye magari ila tumetulia tu T 456 CCM
[emoji23] [emoji23] mkuu hiyo ndo plate no ya gar yako nn
 
Uko mbele gulfstream watu wanamiliki as private jet but uku kwetu ndo dege la mkulu,,,,,,,,,In lov wit Bongoland
 
5568e573dc1640d70a1e83655658e6c7.jpg
ile iliyoandikwa ccm ni hii
Duh hapo kama Songwe Airport
 
Ile ni ya nani [emoji12]
Ile ni ya nani [emoji12]
Aisee Unajua huwa sikuelewi kabisa kwenye avatar, mara uweke batiki, mara kikwete, mara ukuta, mara floor, sasa hivi tena inzi wa kijani.
Sema tu nakuheshimu Kwa Sababu ni mwanamageuzi mwenzangu angekuwa faida futa kule ningemwandama nile ban.
Anyway inaonekana una stress, hebu ukuje pm tuongee.
 
Back
Top Bottom