Mramba alipiga bei mara mbili zaidi yy na yule mhindi wa shivacom, nakumbuka alisema ni afadhali waTZ wale majani lakini Rais apate ndege mpya kumbe ni deal alikuwa anashupaliahii ndege ilinunuliwa kipindi kipi mkuu
Mramba alipiga bei mara mbili zaidi yy na yule mhindi wa shivacom, nakumbuka alisema ni afadhali waTZ wale majani lakini Rais apate ndege mpya kumbe ni deal alikuwa anashupaliahii ndege ilinunuliwa kipindi kipi mkuu
Alikuwa na Fokker fulaninlenyebmapanga boi linapiga kelele kweli likiwa hewaniUnaweza kutuambia ndege aliyokuwa anatumia Mzee rukhsa ilipo?
Wakati tunakula nyasi ili ndege ya Rais inunuliwe wewe ulikuwa wapi?
Ilitulisha manyasi hiyo ndugu yang...
Kma sasahv mnavyokufa njaa hadi Boeing zje..mtanyooka
Wakati tunakula nyasi ili ndege ya Rais inunuliwe wewe ulikuwa wapi?
I wish hata Ingepigwa na Radi Ikienda Chatu!kwa wajuzi wa habari. ndege ya rais inamilikiwa na taifa au niyakukodi?
Unaifahamu private jet ya Donald Trump??Uko mbele gulfstream watu wanamiliki as private jet but uku kwetu ndo dege la mkulu,,,,,,,,,In lov wit Bongoland
Mkapa alinunua hii akiwa kabakisha miezi mitatu tu kumaliza awamu yake. Kwa jinsi alivyo fisadi bila shaka walipiga ufisadi wa kufa mtu na wahusika wengine akiwemo fisadi Basil Pesambili Mramba.[/QUOTE
Sure Ndage ile Used Walinunua Kwa gharama ya Dolar Milioni $52 (Hiyo ni bei yake ikiwa mpya kabisa) sawa na 52 millions x 2235 = Sawa na Tsh Bilioni 170. Au Niseme ani Noti za Elfu 10,000 zenye Kuweza Kujaza Malori Semi Trailer 5 hivi.
Lakini aukweli Ni Kuwa Kindege Kama Hicho Kilichotumika ni Chini ya Dola Million 7. Kwa hiyo Kiasi cha kama Bilioni 120 Zote walizitia Mgukoni. Noti za Elfu Kumi Kumi Kama Malori makubwa 4! Kudadeki, Halafu wanakaa Dodoma Kuwachagulia Watanzania Rais! Ukinunua Gari au Ndege Ukaitumia kwa Miaka miwili Tu, Bei yake Inashuka Karibia Nusu, Ukitumia Kifaa hicho Miaka kama sita ambayo nadhani ndio umri wake walipoinunua bei inakuwa asilimia sii zaidi ya 10 ya bei mpya.
Angalia hapa.
Gulfstream Aerospace - Pre-Owned Aircraft - G200 S/N 208
Hii Ni sawa Kabisa na Ya Tanzania na Na Ni Mpya zaidi yake kwani 2000 Ilikuwa ni Mpya Lakini leo bei yake ni Dolar Milioni 3 hivi.
![]()
UmeanzaHiyo wanapanda watu wajanja tu km timu ya Yanga na si wamchangani km simba.
Inaitwa 5H ONEIkiwa ndege inayombeba rais wa Marekani inaitwa air force one, je hii inayombeba rais wa Tanzania inaitwaje?
Kama ni kweli nahisi hiyo 5 hapo itakua inawakilisha awamu ya 5. Na hiyo H nahisi inawakilisha Hapa kaziInaitwa 5H ONE
Ndo penyewe hapoDuh hapo kama Songwe Airport
Wapo ila wengi wana mapanga boiAhsante kwa ufafanuzi.
Hivi, kuna mwenye pipa bongo?
[emoji23] [emoji23] mkuu mbona hiyo 5H ONE ipo toka kipind cha mkapaKama ni kweli nahisi hiyo 5 hapo itakua inawakilisha awamu ya 5. Na hiyo H nahisi inawakilisha Hapa kazi
Unaifahamu private jet ya Donald Trump??
Nawshukuru wahariri wa magazeti ya Tanzania, kiukweli haikuwa habari ya umuhimu kiasi hicho. Kumbuka kuna magazeti yaliyotutayarisha mwezi mmoja kabla kwamba ndege hii itwasili! Hivi Kenya Airways wakinunua ndege Kenyata anaweza kujua?
Ukiachilia mbali wananchi, hivi magazeti ya Kenya yanaweza kuiweka habari hiyo front page? Sijui hata kama yanaweza kujua Kenya Airways wamenunua ndege mpya.
Tuache kuionyesha dunia kwamba inawezekana sisi ni masikini kuazia mifukoni hadi vichwani. Tunashangilia kununua ndege ambayo watanzania 99% hawawezi kuipanda?
Ali Kessy (Mb) aliwahi kusema hawezi kushangilia mkoani kwake kujengwa uwanja wa ndege wakati inapandwa na waziri mkuu tu (Pinda wakati huo) na wananchi wake hawawezi hata kununa baiskeli.
Asante wahariri wa Tanzania isipokuwa Uhuru na Habari Leo
Acha uongo kwani mnunuzi ndege kwa cash mwenyewe si alijitangaza kwenye TV kila kona ,Wajanja Madalali waliosimamia ununuzi cash wanaushukuru sana maana ulipaji kidogo kidogo wasingetimiza malengo yao, nyie mnaona sifa lakini Wajanja wamepiga humo humo.Habari ya hii ndege walioisambaza na kuipa airtime ni wenye chuki kina bavicha, sikuwa naona umuhimu wa kuishikia bango ndege hii.
Air CCM oneIkiwa ndege inayombeba rais wa Marekani inaitwa air force one, je hii inayombeba rais wa Tanzania inaitwaje?
Mapanga boi, ndio manini.?!Wapo ila wengi wana mapanga boi
Neno records,thibibitisha au lete ushahidi kwa Tanzania huwa si muhimu wala hakuna uhakika kama linafanya kazi kila sehemu japo kuna baadhi kwa uchache hufanya kazi endapo huyo mtu hana uhusiano mzuri na CCM, lakini ukiwa rafiki wa CCM kama Lugumi hata ufanye dili gani records hazitizamwi, mpaka leo kivuko,mabehewa, bomba gesi nk records zipo lakini kwa kuwa waliopiga ni CCM hakuna kitachofanyika.
Mnaposema kuna watu walikula nyasi ili ndege inunuliwe, mnazo records zinazothibitisha kuwa kuna watu walikula nyasi?