Kama kuna mtu mwenye kuhitaji magazeti ya Tintin (soft copies), mimi ninayo yote, nimejitahidi kuyaweka hapa kwa kutumia zip bado file zimekataa... kwa kila mwenye kuyahitaji anaweza kuni PM.
Hizo sidhani kama kuna huwezekano wa kuzihamisha, maana hata mimi ninazo ila nimeonelea bora kutuma soft copies ya magazeti maana kidogo hazina byte kubwa.I have the movies (Cartoon version) but have no clue of how to distribute them kwa wale wanaotaka.