Magazeti mengine yanatia kichefuchefu

Unachokataa nini sasa leta ambacho umefanya wewe
 
tuwe wakweli..
matokeo ya matendo yooooote anayoyafanya pombe
sijui uzalendo
mara kuinyoosha nchi
NI KUWAONGEZEA WATANZANIA UGUMU WA MAISHA..
kama haya ni maendeleo basi kafanikiwa mno !
ukizoea kuishi na mafukara wafuga ng'ombe
siku ukiishi na waliofanikiwa na ukapewa rungu la kuwahukumu........
 
Mkuu kwani hili gazeti bado lipo?
sijawahi kuliona tangu miaka ya 2000!
au kuliona ktk mbao za magazeti!
kama lipo lina wanunuzi kweli?
si bora ninunue 'kiu' kuliko hili
Lipo mkuu,ila hata lisiponunuliwa hakuna hasara,kodi za wananchi zipo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...
 
Na we we mpinge kwa hoja,acha taarab.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…