Magazeti mengine yanatia kichefuchefu

ujenzi wa viwanda washika kasi [emoji23][emoji23][emoji23] tutawapita Kenya kwa viwanda muda c mrefu
 
Kula ndimu mkuu
 
Vyuma vimekaza, watu hamnunui magazeti. Sasa wao wafanyeje zaidi ya kurudi upande wa pili ili watoto waende shule
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu nimecheka hapo mwishoni "Ni bora uweke maandazi kwenye Mfuko wa suruali kuliko kufungiwa kwenye hilo gazeti"
 
nadhani huchapishwa na mbwa maana binaadamu hawezi kuwa na akili fupi hivyo
 


Kwi kwi kwiiii

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…