Mwakamele 16
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,493
- 1,114
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikwenda kijiji fulani mwaka 2014.Baada ya kusalimiana na wenyeji wangu ghafla tumbo la kuhara likanishika nami huyoo nikaingia chooni.Pembeni kulikuwa na gazeti lenye jina hilo limechanwachanwa wee! Sikulitumia nilichukua hankachif yangu kujisafi nikatoka.Mgazeti wa ovyo sana huo haufai hata ku......
Hayafai hata kwa matumizi ya toiletHuko nyuma watu walioshindwa kununua toilet tissue waliyanunua sana kwa matumizi ya chooni. Siku hizi sijui hali ilivyo.
Mkuu achana na watu walioshikiwa akili
Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea?
.......eti J😛:M kichocheo cha kukua kwa uchumi[emoji23] [emoji23] [emoji23] hili gazeti hata nikute wamenifungia maandazi sikubali bora niyaweke kwenye mfuko wa suruali.
Truehili ndilo gazeti la kufungiwa kwa kuandika uongo mtupu
Laana kubwa kuchapia uchafu huo..bora utoke na mavi yako matakon kuliko kichambia kijigazeti hichoMimi nikipewa naenda kuchambia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umenichekesha sanaLaana kubwa kuchapia uchafu huo..bora utoke na mavi yako matakon kuliko kichambia kijigazeti hicho
Kweli kabisa,wanampaka mkulu mafuta kwa mgongo wa chupa.HAWA NDIYO WATU WA KUFUATWA NA NISAN, KWA SABABU WANAMKEJELI JPM.
Ukisikia akili imewekwa kwenye chupa halafu chupa ikahifadhiwa kabatini, ndio namna hii.
Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea?
.......eti J😛:M kichocheo cha kukua kwa uchumi[emoji23] [emoji23] [emoji23] hili gazeti hata nikute wamenifungia maandazi sikubali bora niyaweke kwenye mfuko wa suruali.
Alaaniwe"Wasomi na Wanasiasa wataka aombewe"😎
Wakulima na wafugaji wataka........!?
Sista duu uza papa ama nguva..Maisha kibindankoi bila kudinda hukojoi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Alaaniwe
Niki Mbishi-Malcom XSista duu uza papa ama nguva..
Wazee ndio wanataka aombewe"Wasomi na Wanasiasa wataka aombewe"😎
Wakulima na wafugaji wataka........!?
Wewe waona yana hadhi ya kukusafisha kunako?Mimi nikipewa naenda kuchambia
Wewe waona yana hadhi ya kukusafisha kunako?