ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,108
Nadhani sio Tanzania hiiAnaongelea tz hipi? Au kuna tz tofuti nyngne na hiii ya kchoma vifaranga
hili ndilo gazeti la kufungiwa kwa kuandika uongo mtupu
Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea?
.......eti J😛M kichocheo cha kukua kwa uchumi[emoji23] [emoji23] [emoji23] hili gazeti hata nikute wamenifungia maandazi sikubali bora niyaweke kwenye mfuko wa suruali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nilikwenda kijiji fulani mwaka 2014.Baada ya kusalimiana na wenyeji wangu ghafla tumbo la kuhara likanishika nami huyoo nikaingia chooni.Pembeni kulikuwa na gazeti lenye jina hilo limechanwachanwa wee! Sikulitumia nilichukua hankachif yangu kujisafi nikatoka.Mgazeti wa ovyo sana huo haufai hata ku......
Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea?
.......eti J😛M kichocheo cha kukua kwa uchumi[emoji23] [emoji23] [emoji23] hili gazeti hata nikute wamenifungia maandazi sikubali bora niyaweke kwenye mfuko wa suruali.
Hili toleo maalumu labda ndo maana mahaba mengiNadhani sio Tanzania hii