Magari ya kutoka China yashika soko SA

Magari ya kutoka China yashika soko SA

Kama mabus ya kichina na malori yameweza kuwaondoa Scania na wengine sokoni najua miaka si mingi Hadi serikali nayo wataanza kutumia magari ya kichina badala ya Toyota
We mzee acha utani. Unategemea sisi viongozi wako wa serikali tena serikali tajiri ya CCM tutembelee hiyo mikangafu ya kichina kweli?

Gari ikigongwa inasambaratika kama tofali lililonyimwa simenti....na kila siku mnaona jinsi haya mabasi yao ya sijui yutong, higer, golden deer etc yanavyowaka moto kama nyumba za nyasi za wazigua.

Sisi viongozi wenu kwa kutumia kodi zenu vizuri tutaendelea kutumia Land cruiser tena siyo LC 200/300 tena bali LC zile za bei kali kabisa duniani LC600/700 zile za dola 2,000,000 kwa unit.
Sisi Viongozi wenu tunahitaji kuwa salama na usalama ni gharama.
 
Tanzania tunachelewa sana kutumia vitu vizuri kwa sababu ya kukariri SA ni nchi ina brand nyingi za magari mengine Tanzania hayatakuja kufika mpaka Dunia inaisha gari aina Haval Tigo inafanya vizuri sana hapa kwenye soko lao jamaa wa CAT miaka minne iliyopita walinunua mpya na kunibidhi napokua Johannesburg na mara nyingi nafanya nao kazi niitumie hiyo ni gari nzuri sana kuliko fortuner,Ford au LC 200 nilizonazo Tanzania ntaileta Tanzania muda si mrefu..
Ina cruise haraka,
Camera ya gari yote mpaka juu la paa unaona kwenye dashboard..
Nikizunguka nayo umbali mrefu kwenda Eastern Cape huko wala sichoki..
Mafuta ni diesel harafu inatumia kawaida tu..
Watanzania wengi wenye uwezo wanaoishi hapa wamenunua Haval model yeyote ile...
 
Aisee upo Sahihi kabisaa sidhani kama mtaweza kwenye magari tofauti na Toyota...pia Acha tusubiri tuone itakuaje
 
Tanzania tunachelewa sana kutumia vitu vizuri kwa sababu ya kukariri SA ni nchi ina brand nyingi za magari mengine Tanzania hayatakuja kufika mpaka Dunia inaisha gari aina Haval Tigo inafanya vizuri sana hapa kwenye soko lao jamaa wa CAT miaka minne iliyopita walinunua mpya na kunibidhi napokua Johannesburg na mara nyingi nafanya nao kazi niitumie hiyo ni gari nzuri sana kuliko fortuner,Ford au LC 200 nilizonazo Tanzania ntaileta Tanzania muda si mrefu..
Ina cruise haraka,
Camera ya gari yote mpaka juu la paa unaona kwenye dashboard..
Nikizunguka nayo umbali mrefu kwenda Eastern Cape huko wala sichoki..
Mafuta ni diesel harafu inatumia kawaida tu..
Watanzania wengi wenye uwezo wanaoishi hapa wamenunua Haval model yeyote ile...
Haval za SA huenda ni tofauti na zetu hapo ?
 
Zote ni za kutoka China mkuu tena gari za China kuingia Tanzania Kodi yake ni ndogo tofauti na kuingiza SA ila wamevamia soko mno mpaka wamepunguza soko la Fortuner,Toyota Croossroad na Suv car zingine..
 
Mchina anafanya vizuri kwenye soko, tujipe miaka kadhaa mbele, industry ya magari itakuwa imebadirika sana
 
Back
Top Bottom