Suala la kuwa magari ya mchina hayadumu kama ya nchi za Magharibi siyo suala la mjadala bali ni ukweli. Ila kuna angalizo: kosa ni kuwa watu wanayaponda mpaka inaleta picha ni kama ''magari ya mabox'', yasiyofaa kwa lolote. Jambo jingine: watu husema uzoefu ni mwalimu mzuri. Huenda baada ya muda wachina nao wataweza kuboresha magari yao yawe imara. Na mwisho: bidhaa za kichina kwangu mimi kosa lao ni moja... wanaiga mno design za magharibi. Unakuta eg gari wanatoa ukiliangalia utadhani ni Range Rover ki-muonekano, lakini ukichunguza unakuta ni la kichina. Hii inafanya hata mtu anayemiliki anaonekane kama limbukeni-mshamba aliyebambikiziwa.. kama yale ma-iphone ya kichina.
Wadogo wana lugha yao wanasema mipira ya kwenda..Mipira imenyooka hiyo..!!
Magari ya kichina ni pasua kichwa nakwambia haya magari ya china yana stak barabarani baada ya muda mfupi tu hayaduku haya labad kama matymiz yako ni nyumbani na kazini lkn kikaz aisee ni heri ununue toyota used kuliko hayo ya 3yd yana goma goma sana mchina hana kitu kinachodumu kamwe.Sio kweli mkuu nina gari pick up mwaka wa tano huu nalitumia na nazunguka nalo kila napokua huku sema vitu vingi vinavyokuja Tanzania ni copy...hizo gari za polisi GMW utaziona maana zipo hapo na pia SA wao kubadilika wanaangalia kitu kama kipo sawa mtu anatumia tu..
Haval wanafanya vizuri na gari zao ni bora pia..
Tanzania hizi gari kuja mpaka mmoja aanze kununua ndio wengine wataanza wakati huku washayachoka..
Huku 2013 niliwahi kununua Mazda CX 5 ya mwaka huo huo kwenye auction nilipotaka kuja nayo 2014 jamaa akasema bora nimletee Mercedes kuliko Mazda hajaielewa nikampelekea Mercedes ya 2010 baadae aliposikia kelele za Mazda akaja kuagiza tena wakati yeye alikua mtu wa kwanza kujua ila hakuitaka kwa hiyo ndugu zangu nawajua hizi Haval Tigo mtakuja kuzitumia mpaka msikie kelele na watu wengine wakiagiza kwa wingi..
Sio kweli unachoongea mkuu China wanatumia hizi gari kwao na SA zimeshika soko sana miaka mingi sasa kuna Tigo ipo sakoni sasa.Magari ya kichina ni pasua kichwa nakwambia haya magari ya china yana stak barabarani baada ya muda mfupi tu hayaduku haya labad kama matymiz yako ni nyumbani na kazini lkn kikaz aisee ni heri ununue toyota used kuliko hayo ya 3yd yana goma goma sana mchina hana kitu kinachodumu kamwe.
Hivi zipo za RHD?Sio kweli unachoongea mkuu China wanatumia hizi gari kwao na SA zimeshika soko sana miaka mingi sasa kuna Tigo ipo sakoni sasa.
Yap SA ni RHD kama huku sijaona LHD..Hivi zipo za RHD?
Kuna sedans nimeziona za Zeekr na Xpeng eti mpya chini ya $20,000 zile nazipa miaka 2-3 najua zutashuka sana.Yap SA ni RHD kama huku sijaona LHD..
Tanzania vitu vinachelewa sana kufika kwa sababu ya kodi kubwa ya magari watu wanabaki kumezeshana sumu kwa magari mapya na kuendelea kununua gari za mwaka 2004 tukibaki kuulizana mileage ngapi..
Mchina kazitupa SA nyingi zinauzwa sijafatilia bei ila zitakua chini..Kuna sedans nimeziona za Zeekr na Xpeng eti mpya chini ya $20,000 zile nazipa miaka 2-3 najua zutashuka sana.
Acha uwongo wa kijingaUchumi wa souz unashuka sana kupitia bidhaa za kichina haya magari ukiliweka barabarani mwezi mmoja tu utashangaa yani ni box la plastic umbi kubwa bei rahis hayadumu kabisa viwanda vya polo na nissan vinapata hasara lakini ndio magari mazuri na yana dumu muda mrefu uchuni wa souz unakamatwa na mchina sasa hv na ana haribu nchi kila sehemu.
Magari ya umeme hayana engine, ndio maana kule mbele wanapoweka engine magari tuliyozoea wanaweka mizigoYenyewe ina injini ila haina crankshaft. Utaipenda kwenye lami na siyo off-road.
Hiyo Shark 6 ni PHEV.Magari ya umeme hayana engine, ndio maana kule mbele wanapoweka engine magari tuliyozoea wanaweka mizigo
Hivi hizi EVs ukinunua inabidi ujenge charging station yako home?Yap SA ni RHD kama huku sijaona LHD..
Tanzania vitu vinachelewa sana kufika kwa sababu ya kodi kubwa ya magari watu wanabaki kumezeshana sumu kwa magari mapya na kuendelea kununua gari za mwaka 2004 tukibaki kuulizana mileage ngapi..
Hapa nimeona yapo magari ambayo unatumia cable yao ambayo unaiunga kwenye zile socket za umeme mkubwa (Jiko) vichwa vyake vipo tofauti kidogo kupata mtaalamu wa umeme ni sahihi kufanya hilo..Hivi hizi EVs ukinunua inabidi ujenge charging station yako home?