hii je? unasemaje?
View attachment 75411
ila kinaweza kuchukiwa na wengi kaka.Mkuu,hakuna kitu kitapendwa au kuchukiwa na wote.
hiki labda nimnunulie mwanangu avutie bangi.Hiki vipi.
Na vimeshaanza kuingia bongo. Vitasaidia sana kwenye suala la kupenyapenya foleni na suluhisho katika tatizo la parking mijini.
![]()
gari kama mtu amevimba macho.Hili ni baya kuliko, linaitwaje? Nikiliona nitalipiga mawe kudadadeki