Magari maarufu, yenye sura mbayaaaa..!

Umeacha gari fulani inaitwa Toyota Probox.
Iko flat kama chapati na angles kali kiasi ukipita vibaya inakutumbua.

Mkuu PJ.. mbona ndio kama ile yako??
2011-toyota-probox-toyota-probox-wagon-probox-wago-bec10b.jpg
 
yaani nimecheka mbaya....ila mtoa uzi naona kama tuna test sawa......huwa kuna magari nikiyaona najiuliza designer alikuwa anafikiria nini.....nilisikia huwa wanaenda shule tena chekechea na kuwaambia watoto wachore magari......design inaanzia hapo........
 
Hiki vipi.
Na vimeshaanza kuingia bongo. Vitasaidia sana kwenye suala la kupenyapenya foleni na suluhisho katika tatizo la parking mijini.
how-smart-is-the-smart-car-image.jpg

nimeipenda hii......hebu nipe details zake.....mahali pa kuipata hapa bongo......
 
usimsikilize mshamba huyo. Spacio gari nzuri inavutia ndo maana zipo nyingi mjini. Hata Toyota wenyew wametoa 2nd na 3rd generation ya spacio. Zipo gari zinachekesha kama Terios, platz, toyota will lakini si Spacio.

Nadhani zingekuwa zinavutia wangetoa 2nd generation inayofanana na 1st generation. Ila ukiziangalia ni toofauti! Ina maana waligundua makosa! BTW mi sijasema spacio sio gari zuri, nimesema lina sura mbaya.
 
ok kuna mengne nmekubaliana na wewe but sio verossa.....u must b jokn chali wangu...hyo gali hujaiona ikiwa kwenye rangi na rimz za ukweli utadhan n bughati...alaf gari kama demu,ukisema wa mwenzio mbaya tuonyeshe kwanza wako alaf ndo tulinganshe na huyo unayesema mbaya..

Hapo kwn red mkuu wewe ndio unatania. Yaani kweli unathubutu kuilinganisha verossa na hii kitu?

bugatti-galibier.jpg
 
I can't believe my eyes!!!! How comes magari nisiyoyapenda ni exactly the same kwa sura.
 
Nlidhani utaisahau hummer asee..huwa nashindwa kuelewa huyu jamaa aliyei-design alikuwa mzima au vipi
 
Nlidhani utaisahau hummer asee..huwa nashindwa kuelewa huyu jamaa aliyei-design alikuwa mzima au vipi

Lori si lori.. yani limekaa kama treni kwa mbele.. halafu utadhani kila kipande kilitengenezwa separately then wakaja kukutana siku ya kuunganisha!
 
Nildhani peke yangu kumbe wengi tunaona hayo magari kua nimabaya ila kwa Verosa bado sijaona ubaya wake kabisa.
 
Mtoa mada ana matatizo makubwa sana.
nasubiri atengeneze gari lake litakalo kuwa na mvuto.
 
..Nimegundua wengi mnakapenda haka ka mnyama eh? FunCargo

toyota_funcargo_a1124091014b746545.jpg

haya kitimoto siyafeel kabisa..halafu yamejaa tele!! ni kweli mwisho wa siku kila mtu ana chaguo lake pia urefu wa fweza.
Sasahivi namehamia mjerumani kabisaa, mjapani nimeshamchoka..umenichekesha na spacio, looh nilikuwa nalo kitambo!!
 
Back
Top Bottom