Magari maarufu, yenye sura mbayaaaa..!

Magari maarufu, yenye sura mbayaaaa..!

kweli beauty/ugly is in the eyes of the beholder
 
nimeipenda hii......hebu nipe details zake.....mahali pa kuipata hapa bongo......
Preta, hiyo inaitwa "SMART". Ikiwa mpya inasimama kama dolali 20,000-50,000/=. Kama unataka used kuagiza kupitia mitandao basi andaa si chini ya dola 10,000/=. Kwenye yard za bongo bado hazijafika ila so far kuna watu kama wawili hivi ninaowajua tayari wameshaziingiza hapa bongo mimi nikiwa mmojawapo. Ni gari nzuri sana, economy & classic hasa kwa mazingira yetu haya.
 
Hiki vipi.
Na vimeshaanza kuingia bongo. Vitasaidia sana kwenye suala la kupenyapenya foleni na suluhisho katika tatizo la parking mijini.
how-smart-is-the-smart-car-image.jpg
Dar-Mbeya kinapiga?
 
yan hapo kweny DAIHATSU TERIOS nnavoichukia mpak nataman npgane nayo nackia kchefchef
kuna mdada1 anayo kazn yan had namfanansh sura yake na gar nayy mwnyw namchukia kam shetan hafu n black
 
Yaani mi nikiionaga Probox natamani kutapika
 
Hiki vipi.
Na vimeshaanza kuingia bongo. Vitasaidia sana kwenye suala la kupenyapenya foleni na suluhisho katika tatizo la parking mijini.
how-smart-is-the-smart-car-image.jpg

Na hakuna lift lift kwa jirani unapokwenda sokoni, kanisani, msikitini, au mjini.
 
Aisee Prius itoe kwenye hiyo list yako ,

Mimi gari ambayo nikiiona huwa nacheka sana ni Funcargo yaani ni kadogo kwa umbo ila ndani kana space ya Hummer
 
Hiki vipi.
Na vimeshaanza kuingia bongo. Vitasaidia sana kwenye suala la kupenyapenya foleni na suluhisho katika tatizo la parking mijini.
how-smart-is-the-smart-car-image.jpg
Gari ya Lodi Lofa,yule wa kwenye Sani[emoji23] [emoji23]
 
Huu uzi una umri wa miaka minne kasoro mwezi mmoja na siku 18... Let it be na kuna mabadiliko mengi sana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom