Jamani..! Nissan Primera wagon
View attachment 75349
Mi hasa hii kampuni ya nissan sijui wana matatizo gani?
Jamani..! Nissan Primera wagon
View attachment 75349
Mi hasa hii kampuni ya nissan sijui wana matatizo gani?
Mkuu kweli kabisa,moja kati ya hayo nimelinunua hata mwezi halina,tatizo ilikua ndio urefu wa kamba yangu na wala halikua chaguo langu.Bora niendelee na chuma chakavu langu bwana nshalizoea mie hapa hukulitaja
fun cargo linaongoza kwa ubaya.
mimi kuna moja nduguye na spacio sijui linaitwa opa khaa! nae amekaa vby kama raba za watoto.
lkn hata noah imekaa kama kichwa cha nguruwe siriaz sijui kwann ziliundwa vile.
Hiki vipi.
Na vimeshaanza kuingia bongo. Vitasaidia sana kwenye suala la kupenyapenya foleni na suluhisho katika tatizo la parking mijini.
![]()
Hizi ni zile kama za kubebea majeneza?
yaani Mpinga Shetani, Avatar yako ukichanganya na haya MagariVituko, sina mbavu hapa nilipo!! Ahsanteni wakuu cku yangu inaelekea kumalizika vizuri!Nakubaliana na wewe kwa yote, isipokuwa Honda insight!

Dah! Umenikatisha tamaa, yaani mimi sahizi najikusanya ninunue SPACIO......